Staff Desk
AHMED ALLY ASHINDWA KUVUMILIA AITETEA SARE YA SIMBA,AFUNGUKA HAYA
Baada ya Simba kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Power Dynamos jana Septemba 16 nchini Zambia katika Dimba la Levy Mwanawasa.
Meneja wa habari...
MANARA ATOA KAULI HII TATA KUHUSU YEYE NA SOKA
Baada ya kuwa nje ya Uwanja akitumikia adhabu yake ya kutojihusisha na soka kwa miaka miwili.
Aliyekuwa Afisa Habari wa YangaHaji Manara hii leo Septemba...
AHAMED ALLY AWALIPUA YANGA
Baada ya mtangazaji Jemedari Said kuwakosoa Yanga juu ya ishu ya kusema mabasi yanayosafiri na mashabiki kwenda Rwanda yatakuwa na viongozi wa Yanga halafu...
CHAMA AGEUKA DHAHABU KWENYE MCHEZO WA SIMBA ZAMBIA
KIUNGO mwenye ufundi mwingi mguuni, Clatous Chama, jana aliibuka shujaa ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufunga mabao mawili katika sare ya 2-2...
FEI TOTO, DUBE WATAKIWA KUJITOA AZAM, DABO ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yousouph Dabo, amesema kikubwa ambacho wachezaji wake wanatakiwa kukifanya ikiwa ni pamoja na kiungo Feisal Salum na mshambuliaji Prince...
HUKO LIGI KUU MAMBO NI MOTO, SIO SIMBA, YANGA WALA AZAM,...
Wenyeji, Mashujaa wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Lake...
SIMBA MBONA INAFUZU KIBOSI TU…. AKILI YA ROBERTINHO IKO HIVI
Simba jana ililazimisha sare ya mabao 2-2 ugenini mbele ya wenyeji Power Dynamos mjini Ndola, Zambia kazi kubwa ikifanywa na Clatous Chama aliyefunga mabao...
UNAAMBIWA YANGA WAMEKUTANA NA KIBONDE……ISHU IKO HIVI
Mchambuzi wa TV3 Alex, Ngereza amedai kuwa timu ya soka ya Yanga SC imekuwa kikikutana na vibonde kwenye mashindano ya CAF ndiyo maana inashinda...
CHAMA AWEKA REKODI YA KIBABE NYUMBANI
Clatous Chota Chama ama Mwamba wa Lusaka kama wengi wanavyopenda kumwita, alikuwa katika ardhi ya Nyumbani kwao Zambia, katika jiji la Ndola.
Chama mzaliwa wa...
KIWANGOO! YANGA WAANDIKA REKODI….MUSONDA,MZIZE WAIUA AL MAREIKH
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo