Staff Desk
DROO YA SUPER LEAGUE IKIPANGWA…. SIMBA WATOA MKWARA MZITO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA SASA KIBOSI MANULA HUYU HAPA
Golikipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manura amerejea uwanja wa mazoezi kwa mara ya kwanza baada ya kukaa nje ya uwanja kwa miezi...
KIUNGO WA SIMBA AFUNGUKA MAKALI YA YANGA YA GAMONDI
KIUNGO wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars na Simba SC, Amri Kiemba, amesifu aina ya soka wanalocheza mabingwa watetezi wa...
MWAMBA HUYU HAPA KUTOKA AZAM, SAHANI MOJA NA BALEKE LIGI KUU
PRINCE Dube, nyota wa Azam FC anakula sahani moja na Jean Baleke wa Simba kwenye suala la utupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara.
Ikumbukwe kwamba...
ISHU YA MAJERAHA YA INONGA IKO HIVI
HENOCK Inonga alipata maumivu ya mkono kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga dakikaya 89.
Nyota huyo...
GAMONDI ATUMIA MBINU ZA KIBABE DHIDI YA AL MARREIKH
Kocha Mkuu wa Young Africans, Miguel Gamondi, ameweka mitego yake kuelekea mchezo wa hatua ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya...
SKUDU APATA PIGO YANGA, GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Miguel Angel Gamondi amesema kwa sasa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wake Mahlatsi Makudubela ‘Skudu’ hayupo...
MBRAZILI AKOMAA NA WINGA ASEC…YANGA YEYOTE ANAKUTUNGUA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HUKU USAJILI UKIFUNGWA….. GAMONDI ASHUSHA NONDO 5 YANGA, AMUONDOA SKUDU……AWAONYA WALIOITWA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI APATA WASIWASI, PACOME, MAXI WAZUO HOFU, ISHU IKO HIVI
MIGUEL Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga, ameibuka na kusema kuwa, mapumziko ya muda mrefu huenda yakamfanya kuanza upya kukisuka na kuwaongezea fitinesi...