Staff Desk
MASHABIKI WAMTAKA PACHA WA AZIZI KI, JE UONGOZI UNASEMAJE!? ISHU IKO...
Saa chache baada ya kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Stephanie Aiz Ki 'Master Ki' alipost kuhusu mchezo wa kwanza wa Ligi ya NBC...
AZIZ KI AWAGUMZO SOKA LA BONGO, ISHU NZIMA IKO HIVI
Wadau wa soka wameweka wazi mambo yaliyomfanya kiungo wa Young Africans, Stephane Aziz Ki msimu uliopita kushindwa kufanya vizuri na kuwaka msimu huu.
Aziz Ki...
AMBANGILE AWEKA WAZI UHATARI WA YANGA KWENYE MASHAMBULIZI
Mchambuzi maarufu wa masuala ya soka nchini Tanzania, George Ambangile amesema kuwa kikosi cha Yanga Sc chini ya kocha wao, Miguel Gamondi ni hatari...
KIVUMBI LEO LIGI KUU, HAPA YANGA PALE JKT TANZANIA…. LEO NI...
Ligi Kuu ya soka ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Agosti 29 kwa mchezo mmoja ambapo Mabingwa watetezi wa Ligi hiyo Yanga SC...
BEKI LA SIMBA LAPAGAWA NA KINA PACOME, MAXI AFUNGUKA HAYA
Kikosi cha ASAS kimetimka nchini kurejea Djibouti wakiwa wameng’oka michuano ya CAF baada ya Yanga kuifumua jumla ya mabao 7-1, lakini beki mmoja wa...
GAMONDI ACHOSHWA NA MAPUMZIKO HAYA YANGA, AFUNGUKA KILA KITU
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema mechi tatu mfululizo walizozipata zimeongeza ufiti kwa mastaa wake huku akilia na mapumziko yaliyo mbele yao kwamba...
ROBERTINHO ATAKA USHINDANI SIMBA, AFUNGUKA HAYA AKIWA KAMBINI
Baada ya Kikosi cha Simba SC kurudi kambini na kuanza mazoezi, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amesema siku 30 za mapumziko...
POWER DYNAMO WAINGIA UBARIDI MBELE YA SIMBA KABLA YA KUINGIA UWANJANI,...
Baada ya kutinga Raundi ya Kwanza ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuing’oa African Stars ya Namibia kwa faida ya bao la...
CAF YAIBEBA TENA SIMBA, ROBERTINHO SASA AOMBA MECHI KALI…. DAKIKA 250,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AMCHAMBUA PACOME….MASTAA SIMBA WAONYWA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo