Staff Desk
AFADHALI YA ROBERTINHO, SIO HUKO KWA GAMONDI NA HILI LA DABO...
Achana na Robertinho yeye tayari ameshapata mwanga‼️Lakini vipi hawa wawili, Miguel Gamondi wa upande wa Yanga SC pamoja na Youssouph Dabo wa Azam FC...
VITA YA NAMBA HUKO YANGA SASA IMESHAKUWA MAJANGA…… WAZAWA WAGOMA
Kuna vita kubwa ya namba ya namba inayoendelea kambini Yanga ni baada ya wachezaji wazawa kugoma kukaa benchi.
Yanga wapo kambini hivi sasa wakijiandaa na...
KWA MZIKI HUU BORA MSIJE, ONANA, MAXI GUMZO, YULE KIPA APEWA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KIVUMBI LEO…. LAZIMA TUWAPASUE, INONGA FRSH KUIVAA YANGA, CHAMA , MOLOKO...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HATIMA YA DJUMA NA YANGA HADHARANI, ISHU IKO HIVI
Meneja wa beki wa kulia Djuma Shabani, Yasmin Razak amesema mteja wake yuko kwenye vikao na uongozi wa Young Africans kuona namna gani wanamalizana...
SIRI YA SIMBA KUMSAJILI AYOUB KAMA KIPA WAO MPYA YAFICHUKA
Kigezo cha uzoefu wa mashindano ya kimataifa, kimeonekana kuwa sababu kuu iliyoishawishi Simba kumsajili kipa Ayoub Lakred kutoka FAR Rabat ya Morocco ambaye leo...
CHAMA AFUNGUKA KUHUSU HESHIMA YA SIMBA, ATAKA JAMBO HILI MSIMU HUU...
Kiungo wa Simba SC, Clatous Chama amesema huu ni msimu wao wa kurudisha heshima na kubeba mataji yote ambayo wameyapoteza katika misimu miwili iliyopita.
Simba...
MGUNDA AWEKA MAMBO HADHARANI SAKATA LA ROBERTINHO NA PHIRI SIO POA,...
Wanamwita Guardiola Mnene, wakimlinganisha uwezo wake wa ukocha Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola ‘Boli linatembea’.
Huyu ni straika wa zamani wa Coastal Union na...
ROBERTINHO ATETA NA WACHEZAJI WAKE KABLA YA KUKUTANA NA YANGA KESHO
Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera amezungumza kuelekea mchezo wa kesho wa fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa katika Dimba la...
SIMBA YAMTAMBULISHA KIPA WAKE MPYA KUTOKA MOROCCO
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kipa, AYOUB LAKRED kutoka FAR Rabat ya Morocco kwa Mkataba wa miaka miwili.
Lakred (28) ameiongoza FAR Rabat...