Staff Desk
GAMONDI AWAPOTEZEA SIMBA, ASEMA HAYA KUHUSU YANGA KUKUTANA NA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina ni kama amempotezea kocha wa wapinzani wake wa kubwa wa Ligi Kuu Bara Simba, Robert Oliveira...
AZIZ KI AFICHUA SIRI HII YA KUIFUNGA AZAM
Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Burkina Faso Stephen Aziz Ki, ametoboa siri kwa kusema Kocha Mkuu wa Young Africans Miguel Angel Gamondi alimpa maelekezo maalum...
YANGA SASA AKILI YOTE KWASIMBA, MAANDALIZI YAKE SIO POA
Baada ya kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya fainali ya Ngao ya Jamii, kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi kuelekea fainali.
Dakika 90 Yanga ilikamilisha...
TRY AGAIN AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU SIMBA KWENYE SUPER LEAGUE
Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umesema kwa sasa unaendelea kujiweka sawa ili kuiwezesha timu yao inafanya vizuri katika Michuano ya CAF Super League,...
SIMBA KUMSAJILI KIPA HUYU KUTOKA KWA NABI
Simba imefikia makubaliano ya kuinasa saini ya kipa, Ayoub Lakred (28) aliyekuwa akiichezea timu ya FAR Rabat ya Morocco inayofundishwa na kocha wa zamani...
MWISHO WA UBISHI,… MAXI , SKUDU KUOGA MINOTI GAMONDI AKIPIGA MKWARA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
TUMEWAFUATA HUKOHUKO,…. MUARGETINA ATOA ONYO ZITO FAINALI NGAO YA JAMII
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUMBE SIMBA NI MBABE WA SINGIDA, TAKWIMU ZIPO HIVI
Wakati Singida Fountain gate wakijiandaa kushuka Dimbani leo Jioni kumenyana dhidi ya Simba SC katika Uwanja wa Mkwakwani.
Singida Fountain Gate itakosa huduma ya Wachezaji...
KUMBE HIKI NDIO KINACHOWAPA JEURI SIMBA
Uongozi wa Simba SC, umeibuka na kusema kuwa, hakuna kitakachowazuia wao kubeba makombe katika msimu wa 2023/24 kutokana na usajili kufanyika kitaalam.
Hiyo ni katika...
MAYELE ATUPA JIWE GIZANI BAADA YA AZAM KUPOKEA KIPIGO DHIDI YA...
Aliekuwa mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ambae kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Pyramids FC ya nchini Misri amewapiga kijembe Azam baada ya kupokea...