Staff Desk
CHAMA, MOLOKO KUIKOSA NGAO YA JAMII ISHU IKO HIVI
Klabu ya Simba SC itamkosa kiungo wake, Clatous Chama kwenye michezo ya ngao ya jamii dhidi ya Singida Fountain Gate kesho Alhamisi, Agosti 10,...
HIVI NDIO AZIZI KI ALIVYOIOKOA YANGA DHIDI YA SIMBA
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe amesema huwa akimwangalia kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Stephanie Aziz KI huwa anajikuta anamshukuru kwa jinsi...
KOCHA WA SIMBA ALIA NA WACHEZAJI WAKE HAWA, ISHU IKO HIVI
Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema anataka kuona timu yake ikipata ushindi wa mabao mengi zaidi, huku akipanga kutengeneza muunganiko wa...
FEISAL SALUM LEO MKWAWANI KUNACHIMBIKA , YANGA WAJIPANGE
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ameonekana kuwa mwenye tabasamu muda wote akiwa Mkwakwani jijini Tanga.
“Angalia nyuso za furaha kwenye mazoezi ya mwisho leo...
FEI TOTO LEO NDIO LEO ASEMA HAYA KUITIFUA YANGA
Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema yupo fiti na tayari kuipambania timu yake itakayojitupa uwanjani kesho Jumatano (Agosti 09) kupambana dhidi...
WAKILI WA YANGA, AWAPIGA DONGO HILI SIMBA SC, MANGUNGU AHUSISHWA
Jumapili iliyopita Simba walikuwa na Tamasha lao la "Simba Day" katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Kilele cha Tamasha hilo kilifana sana...
MANENO KIDOGOOO…. TUKUTANE SAITI, MBRAZILI : SASA MTAIELEWA SIMBA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MASTAA WAPYA SIMBA WAIPETEZA YANGA, …… GAMONDI AICHAMBUA SIMBA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
UONGOZI WA SIMBA WAFUNGUKA MAZITO KUHUSU PHIRI KUTOKUCHEZA
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' amefunguka kuhusu sakata lililoibuliwa mitandaoni na mashabiki wa timu hiyo wakihoji...
UNAAMBIWA HIVI NDIVYO YANGA ULIVYOJIANDAA KUISHI BILA YA WACHEZAJI HAWA
Klabu ya Yanga walijianda mapema kuishi bila uwepo wa Yanick Litombo Bangala. Ukitazama vikosi hivi (4) vya mwisho kwenye mashindano yote, utabaini kuwa Yanga...