Staff Desk
SIMBA WATUA DAR KIBABE , CHEKI BAKAA LAO WAKITIKEA UTURUKI
Kikosi cha Simba kimerejea nchini Alfajiri ya leo baada ya kambi ya wiki tatu Jijini Ankara nchini Uturuki kujiandaa na msimu mpya na Jumapili...
KWA YANGA HII WAPINZANI TUMBO JOTO, ALLY KAMWE ATAMBA
Afisa habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kile walichokifanya katika mchezo dhidi ya Magereza ni kionjo tu na inamaanisha Yanga ya Gamondi...
MAJANGA HAFIZ KONKANI AGOMA KUVAA VIATU VYA MAYELE, ISHU IKO HIVI
Mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Hafizi Konkoni amesema kuwa amekuja Yanga kuwatumikia Wananchi na si kuvaa viatu vya aliyekuwa mshabuliaji kwa timu hiyo...
KIPA MBRAZILI KATEMA BUNGO BWANA, AMESHAPEWA MKONO WA KWAHERI, MWAMBA HUYU...
KIPA Mbrazili Jefferson Luis amechemka mazima na ameshapewa mkono wa kwaheri Msimbazi. Kama mambo yatakwenda kama yalivyosetiwa pale langoni kinatua tena chuma kutoka Bara...
KAULI YA MPIRA PESA YAZUA KIZAZAA SIMBA, YANGA, ISHU IKO HIVI
KAULI ya Mpira ni Pesa ndio unaweza kuitumia kuelezea namna Simba na Yanga zinavyoonyesha dalili ya kutamba tena msimu ujao wa 2023/2024 kutokana na...
HIVI NDIVYO THANK YOU ZA SIMBA, YANGA ZILIVYOGEUKA NA KUWA WELCOME
Wakati tetesi za usajili zikiendelea kushika kasi nchini muda huo huo thank you nazo zikiendelea kutolewa kwa baadhi ya wachezaji na benchi la ufundi.
Hadi...
TUKO PALEEE! SIMBA YATUA DAR, YAJICHIMBIA MAFICHONI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MERIDIAN BET VUNA ZAIDI NA AIRTEL MONEY YAZINDULIWA LEO
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania hii leo Meridianbet kwa kushirikiana na Airtel Money Tanzania walikuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hotel ya...
MECHI SABA ZAMPA MTU MILIONI 14 MERIDIAN BET
Kupitia Kampuni ya Meridianbet ambao ni wababe wa michezo ya kubashiri wametoa mshindi kwa mara nyingine tena ambapo zamu hii wametoa mshindi wa milioni...
KUMBE AHMED LLY ALIKURUPUKA KUHUSU JEZI YA MKUDE…. MAMBO YAPO HIVI...
Jezi namba 20 katika kikosi cha Simba ilikuwa ikivaliwa na kiungo Mwandamizi Jonas Mkude, lakini mwishoni mwa msimu uliopita Simba waliamua kuachana nae.
Kulitokea maneno...