Staff Desk
FEI TOTO AANZA KUKIWASHA NA AZAM FC….HILO BALAA LAKE KWENYE MAZOEZI...
Kiungo kutoka visiwani Zanzibar Feisal Salum Abdallah, rasmi ameanza mazoezi akiwa sambamba na Kikosi cha Azam FC leo Alhamis (Julai 06) katika viunga vya...
YANGA WAIPIGA MKWARA SIMBA KWA KUMUACHA MKUDE…ALLY KAMWE AFICHUA WALIYAHIFADHI…
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa licha ya utani wa jadi uliopo baina yao na Simba bado kuna jambo wanalisikitikia hasa kumuacha kiungo mzoefu,...
DODOMA JIJI KAMA SIMBA NA YANGA TU…NAO WAAMUA KUONYESHA UBABE KWA...
Mabosi wa Dodoma Jiji wameamua kufanya kweli kwa msimu ujao, baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa KMKM ya Zanzibar, Yassin Mgaza.
Mshambuliaji huyo amesaini...
SIRI YA AZAM FC KUSAJILI WASHAMBULIAJI YAFICHUKA…USAJILI WA FEI TOTO WATAJWA…
Azam FC imekamilisha usajili wa washambuliaji Alassane Diao, Gibril Sillah na Feisal Salum jambo ambalo ni kama vile wadau wengi wanaona wanajaza wachezaji wengi...
SIMBA MAJANGA MATUPU KWA UPANDE WA MASTAA WAZAWA…UKWELI MCHUNGU HUU HAPA..
Simba ina kibarua kigumu cha kufanya katika dirisha hili la usajili linaloendelea kutokana na uhaba wa wachezaji wazawa katika kikosi chake kulinganisha na washindani...
WAKATI WAKIIBIANA WACHEZAJI AIRPORT…BODI LA LIGI WAJA NA HILI JIPYA KWA...
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), imezitaka klabu zote za Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Championship na Daraja la Pili ‘First League’...
SIMBA WAZIDIWA AKILI NA YANGA, KWA STAA HUYU WA KONGO
Achana na tripu ya Malawi ambayo wanaenda Wachezaji mseto, Yanga inachanga karata zake wa mwisho kukamilisha usajili wake kabla ya kuingia rasmi kambini wiki...
KOCHA HUYU WA AZAM AANGUKA MKATABA WA MAANA SIMBA….VYUMA VYAZIDI KUSHUSHWA..
Aliyekuwa Kocha wa Walinda Lango Azam FC Daniel Cadena, ameibukia kwa Wekundu wa Masimbazi Simba SC, akitambulishwa kuwa Kocha wa makipa wa kikosi cha...
WINGA HUYU HATARI ATHIBITISHA KUSAJILIWA NA SIMBA…
Habari njema kwa mashabiki na wapenzi wa klabu ya SIMBA ni kunaswa kwa saini ya winga wa maana anayejua kazi na mbio mithiri zenye...
AZAM FC WAENDELEA KUFANYA MAKUBWA…WASHUSHA ‘KOCHA JIPYA’ LA MPIRA…NI BALAA…
AZAM FC imeendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao baada ya Julai 5, 2023 kumtambulisha kocha msaidizi kikosini hapo.
Miamba hiyo ya kusini mwa Dar es Salaam...