Staff Desk
HUKO OLD TRAFFORD NI FEDHEA MAN U WATANDIKWA VIKALI
Timu ya Manchester United imechapwa mabao 3-0 na AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Jumamosi Uwanja wa Old Trafford Jijini...
WAGOSI WATAMBA MBELE YA KAGERA SUGAR LIGI KUU
Bao pekee la kiungo Charles Semfuko dakika ya tano limewapa wenyeji, Coastal Unión ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi...
NGAO YA JAMII BAADA YA YANGA KUKIBALI KIPIGO SASA NI SIMBA...
Timu za JKT Queens na Simba Queens zitakutana katika Fainali ya Ngao ya Jamii kuelekea msimu mpya wa Ligi ya Wanawake Tanzania Bara baada...
KAMA ULIVYOSIKIA SIMBA WAKUBALI KIPIGO DADIKA ZA LALASALAMA
Wekundu wa Msimbazi, Timu ya Simba SC imekubali kichapo cha 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji Wydad Casablanca na kuporomoshwa mpaka mkiani mwa msimamo wa...
YANGA YAONGEZA WATATU MABOSI WAITANA MEZANI,GAMONDI AWAPA RAMANI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
CHANONGO AWAONYA MASTAA WENZIE KWENYE ISHU HII
NYOTA wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo amewaonya mastaa wenzake wa kikosi hicho kutobweteka na ushindi walioupata katika michezo miwili mfululizo ya ugenini.
Chanongo alisema kikosi...
ISHU YA YNGA KUVUKA MAKUNDI NJIA SAHIHI NI HII
Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya...
IMBA AFUNGUKA HAYA JINI ZITAKAVYOBEBWA POINTI TATU MBELE YA WAARABU
IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi...
MASTAA IMBA ATOA AHADI YA KIBABE DHIDI YA WYDAD LEO
MASTAA wa Simba wameapa kupigana kufa na kupona ili kuhakikisha timu yao inapata matokeo mazuri katika mchezo wao wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca...
YANGA NA HESABU HIZI ZA KUVUKA MAKUNDI CAF
Matokeo ya suluhu iliyoipata Al Ahly nyumbani Cairo dhidi ya CR Belouizdad yameifanya Yanga kuwa na matumaini ya kufuzu robo fainali ya Ligi ya...