Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

UNATAKA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY VIINGILIO HIVI HAPA

0
Simba imetangaza viingilio vya mchezo wao dhidi ya Al Ahly ya Misri wakisema kiingilio cha chini kuona mchezo huo kitakuwa ni sh 7,000 tu. Msemaji...

UONGOZI WA SIMBA UMEFUNGUKA HAYA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WALIOITWA

0
Kuelekea mchezo wa African Football League klabu ya Simba imesema timu hiyo itaingia kambini kesho Alhamisi Oktoba 12, 2023 kwa ajili ya kujiweka sawa...

KIONGOZI WA YANGA AFUNGUKA KUHUSU KUMFUKUZA ROBERTINHO

0
Makamu Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kama angekuwa kiongozi wa Simba SC basi tayari angekuwa amemtimu kocha wa Simba...

MARAIS HAWA KUISHUHUDIA SIMBA VS AL AHLY

0
Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula, amesema marais wa FIFA na CAF ni miongoni mwa watu mashuhuru watakaofika kushuhudia mchezo wao wa ufunguzi dhidi...

SAIDO ATANGAZA VITA, AKILI YOTE KWENYE KIATU SASA

0
Baada ya kufunga mabao mawili katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara mfululizo, straika wa Simba, Saido Ntibazonkiza amenogewa kufunga na sasa ameanza kuwaza...

MASTAA HAWA YANGA WAITWA TIMU ZA TAIFA

0
Wachezaji watatu wa kigeni Yanga SC, kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra na viungo Mganda Khalid Aucho na Mburkinabe Stephane Aziz Ki wamekwenda...

GAMONDI AWAPA ANGALIZO HILI MASTAA YANGA

0
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa baada ya kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wana kazi kubwa ya...

SIMBA WAOMBE MASTAA WAO WASIITWE

0
Kuelekea maandalizi ya mchezo wa ufunguzi wa African Football Legue huenda Simba ikawakosa nyota kadhaa endapo wataitwa na kwenye timu zao za Taifa...

SIMBA SC YAPEWA REFA WA YANGA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

SIMBA YAITIKISA KAMBI WAARABU WASHTUKA, WAZUIA JAMBO HILI… AL AHLY

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS