BANDA AWASHUKURU WATANZANIA KWA KUMTAKIA KHERI YA KUZALIWA

0

ABDI Banda beki wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga kwenye Klabu ya Highlands Parks amewashukuru watazania wote ambao wamemtakia kheri kwenye siku yake ya kuzaliwa.Banda amesherehekea sherehe yake ya kutimiza miaka kadhaa akiwa ndani kutokana na kutoruhusiwa kutoka ndani kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Banda amesema:"Nawashukuru watanzania wote ambao wamenitumia ujumbe na kunikatika kila la kheri kwenye...

DILI LA NYOTA ANAYEWINDWA NA YANGA PAMOJA NA SIMBA LAINGIA DOA, HAWA HAPA WAMETIBUA

0

HASSAN Zidadu, Mwenyekiti wa Klabu ya Namungo amesema kuwa mkataba wa nyota wao Relliants Lusajo unameguka hivi karibuni ila wameanza mazungumzo naye.Lusajo ambaye ni nahodha wa Namungo FC amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo ametupia mabao 11 na pasi tatu za mabao.Inaelezwa kwa tayari mabosi wa Yanga na Simba walianza kumpigia hesabu nyota huyo hivyo kwa hatua ambayo...

CHIRWA AKUBALI YAISHE AZAM FC..!!

0

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Obrey Chirwa amesema ameamua kuiheshimu klabu yake kwa kutorejea kwao Zambia vinginevyo angeonekana mtovu wa nidhamu.Chirwa raia wa Zambia mwenye asili ya Malawi amesema tangu Ligi Kuu Bara isimame hakuondoka nchini kama ambavyo wenzake wa kigeni wamefanya na kuamua kusalia jijini Dar es Salaam.Chirwa amesema sababu kubwa ambayo imemfanya kutochukua uamuzi huo ni kwamba isingekuwa...

BEKI KISIKI NDANI YA INTER MILAN AIPIGIA HESABU MANCHESTER UNITED

0

BEKI kisiki wa Inter Milan Diègo Godin ameingia kwenye anga za kuwindwa na Spurs pamoja na Manchester United.Godin hajawa na maisha mazuri ndani ya Inter Milan kwa kukosa nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza chini ya Kocha Mkuu Antonio Conte ambaye amekuwa akimsifu kuwa ni beki bora.Ndani ya Serie A akiwa na Conte amefanikiwa kucheza mechi 16 huku beki...

MSHAMBULIAJI MWILI JUMBA, KIPENZI CHA MASHABIKI ATOA AHADI NZITO KWA MASHABIKI

0

YKIPE Gnamien mshambuliaji mwili jumba anayekipiga ndani ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku akijifua ili Ligi Kuu Bara ikirejea imkute kwenye ubora wake.Nyota huyo alivunja mkataba ndani ya Klabu ya Gor Mahia ili ajiunge na Yanga kutokana na kupata dili kubwa na mabosi wa Yanga kuelewa uwezo wake.Kwa sasa ligi...

HAWA JAMAA NI WAZEE WA MIPENALTI, MBABE WAO HUYU HAPA

0

KWENYE Ligi Kuu Bara kazi kubwa kwa washambuliaji ni kutupia kila wapato nafasi ila kuna wataalamu wa kupiga mipira iliyokufa yaani penalti.Hawa jamaa mbali ya kufunga kwenye harakati za kumalizia pasi za mwisho ila wamefunga pia kwa penalti namna hii:-Peter Mapunda Mapunda anakipiga Mbeya City ametupia mabao tisa kati ya hayo sita amefunga kwa penalti.Meddie Kagere anakipiga Simba, ametupia...

KOCHA AS VITA ABARIKI MOZIZI KUTUA YANGA…AFUNGUKA MAAJABU YAKE..!!

0

PALE DR Congo kuna kocha mmoja mkongwe ambaye amewahi kufanya kazi Yanga na amesikia klabu yake hiyo inamsaka ‘top straika’ mmoja Mpiana Mozizi akawasisitiza wafanye fasta sana.Kocha ambaye ameyazungumza hayo ni Raoul Shungu ambaye amewahi kuifundisha Yanga na kuwapa mafanikio kwa kutwaa mataji mbalimbali amesema kama hesabu za Yanga ni kweli wanamtaka Mozizi basi jamaa ni mshambuliaji bora aliyekamilika....

KIPA REAL MADRID ATOA SHUKRANI ZAKE KWA WAKONGWE

0

Kipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois hivi karibuni katika siku ya kimataifa ya makipa aliwashukuru makipa wakongwe Casillas na Van der Sar ambao nidiyo alikuwa anawafuatilia zaidi. Courtois kwa sasa ni mmoja wa makipa bora Ulaya kutokana na kazi ambayo amekuwa akifanya ndani ya Madrid msimu huu, licha ya kwa sasa ligi kusimama.  Katika makuzi yake mpaka anacheza soka kipa huyo...

VIGOGO YANGA WAMGEUKA EYMAEL KUHUSU YONDANI KUTUPIWA VIRAGO

0

YANGA wameperuzi ripoti ya mapendekezo ya Kocha wao Luc Eymael wee lakini walipofika kwenye jina la Kelvin Yondani wakaganda kidogo. Wakakubaliana kutokubaliana.Ripoti ya siri ya mipango ya Kocha Eymael kwa uongozi imemtaja Yondani kama itawezekana kumpata beki mwingine mzawa mwenye ubora zaidi basi aletwe na mkongwe huyo aonyeshwe mlango wa kutokea.Mabosi wa Yanga bado wanaona Yondani sio silaha ambayo...

KUHUSU YANGA….CHAMA AMTAJA NIYONZIMA..!!

0

HIVI karibuni mashabiki wa Simba walikuwa na presha baada ya kuzagaa kwa taarifa kuwa Yanga wako katika mchakato wa kumnasa kiungo wao, Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’ a.k.a Triple C.Lakini mchezaji mwenyewe akiwa kwao Zambia, aliamua kufunguka juzi Ijumaa mchana kwenye akaunti yake ya Instagram alipokuwa ‘live’ akijibu maswali ya mashabiki wa soka Afrika.Alianza kwa kusisitiza kuwa ana furaha...