HUYU NI YULE BEKI TEGEMEO WA GOR MAHIA SASA INAELEZWA SIMBA WANAISAKA SAINI YAKE

0

JOASH Abong'o Onyango beki mwenye muonekano wa kipekee ndani ya uwanja inaelezwa kuwa ameingia kwenye hesabu za mabosi wa Simba ambao wanahitaji kuboresha kikosi chao.Onyango ambaye inaelezwa kuwa ameletwa duniani Januari 31,1993  ana umri wa miaka 27 licha ya kuonekana ni mwenye umbo kubwa na muonekano kama mzee fulani hivi. Beki huyo anatajwa kuwa bora muda wote wakati anakipiga ndani...

YANGA KUCHOMOA MITAMBO MIWILI YA KAZI KUTOKA NAMUNGO

0

RELIANTS Lusajo, mtambo wa mabao ndani ya Yanga iwapo dili lake la kutua ndani ya kikosi cha Yanga litajibu, basi atashuka na nyota pacha wake mzawa, Lucas Kikoti.Habari zinaeleza kuwa, Yanga ipo kwenye mchakato wa kuinasa saini ya Lusajo ambaye ni kinara wa kutupia ndani ya Namungo aliyetupia mabao 11 sambamba na pacha wake, Kikoti ambaye ametupia mabao manne...

BINGWA WA LIGI KUU BARA MSIMU WA 2019/20 ATAPATIKANA KWA MTINDO HUU

0

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Almas Kasongo amesema kuwa hatma ya bingwa wa ligi itaamuliwa uwanjani na si vinginevyo.Kwa sasa ligi imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia.Wakati ligi ikisimama Simba ilikuwa inaongoza ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28.Kasongo amesema kuwa wanaamini hali...

KOCHA MKUU WA SIMBA AUKUBALI MUZIKI WA KIUNGO HUYU

0

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba raia wa Ubelgiji, rekodi zinaonyesha kuwa anaukubali ‘muziki’ wa kiungo wa Zambia, Clatous Chama, hivyo kwa timu inayowinda saini yake lazima ijipange.Mbelgiji huyo alisema kuwa mchezaji mwenye juhudi mazoezini ndiye ambaye anampa namba jambo ambalo limekuwa likimnyima usingizi Ibrahim Ajibu ambaye kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona...

THAMANI YA NYOTA WA PSG SOKONI YASHUKA GHAFLA

0

THAMANI ya mshambuliaji anayekipiga ndani ya Klabu ya PSG, Kylian ambappe imeripotiwa kuporomoka kwa kasi kwenye soko la wachezaji kutokana na janga la maambukizi ya Virusi vya Corona.Awali thamani ya nyota huyo raia wa Ufaransa sokoni ilikuwa ni pauni milioni 189 na inatajwa inaweza kushuka zaidi ya hapo kufikia pauni milioni 150.Cohn Bendit ambaye ni mbunge nchini Ufaransa na...

HAWA HAPA LICHA YA KUPEWA KITAMBAA CHA UNAHODHA WANACHEKA NA NYAVU PIA

0

NDANI ya Ligi Kuu Bara ni manahodha wawili wazawa wenye mabao zaidi ya 10 kwa msimu wa 2019/20.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa ni janga la dunia.Miongoni mwa nahodha hao ni pamoja na Paul Nonga anayekipiga Lipuli ametupia mabao 11 na pasi nne za mabao.Mwingine anayevaa kitambaa cha unahodha...

WAGENI HAWA NI VINARA KWA KUTUPIA KWENYE TIMU ZAO NA WANA HAT TRICK PIA

0

KINARA wa utupiaji ndani ya Azam FC ni Obrey Chirwa raia wa Zambia ametupia mabao nane msimu huu ambapo aliwapiga hat trick Alliance FC Uwanja wa Nyamagana.Azam FC ipo chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia wa Romani ambaye ameongoza kikosi hicho kwenye jumla ya mechi 24 ambapo alichapwa mechi tano, sare sita na kushinda mechi 13.Ikiwa nafasi ya...

NYOTA WA KARIOBANGI AKUBALI KUTUA YANGA KIROHO SAFI

0

YIDAH Sven kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Kariobangi Sharks amesema kuwa yupo tayari kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga iwapo utaratibu utafuatwa.Mkataba wa nyota huyo anayekipiga nchini Kenya unameguka msimu huu pale ligi inapomeguka.Sven amekuwa akihusishwa kujiunga na Klabu ya Yanga yenye maskani yake mitaa ya Karikaoo."Mkataba wangu ndani ya klabu yangu hapa unameguka msimu utakapoisha ila ikitokea...

AZAM FC YAKUMBUMBUKA TAJI LAO LA KWANZA NDANI YA LIGI KUU BARA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA MIAKA SITA

0

UONGOZI wa Azam FC  leo unakumbuka miaka sita iliyopita baada ya kutwaa Kombe la Ligi Kuu Bara kwa mara ya kwanza bila kucpoteza mchezo. Aprili 19, 2014 Azam FC iliweka alama yao kwenye vitabu vya kumbukumbu vya soka hapa nchini pale ilipomaliza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kutwaa taji hilo kwa mara ya kwanza.Ilikuwa katika mchezo dhidi ya JKT...