BAADA YA SVEN KUONYESHA KUMUHITAJI..KIUNGO NAMUNGO AMEFUNGUKA HAYA..!!
KOCHA wa Simba, Mbelgiji Sven, hakuficha hisia zake namna anavyomkubali kiungo wa Namungo FC, Lucas Kikoti ‘Mtakatifu Kikoti’, sasa mchezaji mwenyewe amesisitiza, ikitokea Wekundu hao wa Msimbazi wanamuhitaji, hatajiuliza mara mbili.Kikoti alisema hakuna asiyejua Simba ni miongoni mwa timu kubwa na nzuri na sehemu kubwa ya wachezaji wanatamani kucheza haoo.“Ikitokea kama Simba wananihitaji, yaani fasta nitakuwa tayari kwenda huko...
ISHU YA YANGA NA SIMBA IMENOGA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA
KESHO ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi mambo yatakuwa namna hii, nafasi ya kushinda Gari ni yako
SIMBA: PENGO LA OKWI BADO LIPO
AISHI Manula, mlind mlango namba moja wa Simba amesema kuwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika klabu hiyo na bado ana nafasi ya kurudi tena na kufanya vizuri kwani pengo lake halijawahi kuzibika.Manula amesema kila mchezaji ndani ya klabu hiyo ana ubora wake, lakini Okwi ni mchezaji wa kipekee kuwahi kuichezea...
AZAM, SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA MFUMANIA NYAVU NAMBA MOJA LIPULI
PAUL Nonga mtupiaji wa Lipuli ameziweka vitani timu tatu kubwa ambazo zinahitaji saini yake kwa sasa ikiwa ni pamoja na Azam FC, Yanga na Simba.Habari zinaeleza kuwa kwa sasa Nonga amekuwa kwenye hesabu za kuwindwa na timu tatu za juu jambo ambalo limewashtua Lipuli ambao wamemuwahi kwa kumpa mkataba wa awali ili asaini.“Nonga amebakiza mkataba wa miezi sita ndani...
BABY J AJA NA MKWARA MZITO KWA ATAKAYEMROGA
MWANAMUZIKI maarufu wa visiwani Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’ amesema kuwa zamani watu wengi walikuwa wakipenda kucheza na mwili wake lakini sasa hivi yuko imara sana hakuna wa kumchezea na atakayejaribu, anatafuta kifo.Akizungumza na Amani, Baby J alisema zamani walitaka kabisa kumfanya kichaa na ndiyo maana akawa asikiki kabisa kwenye muziki, lakini kwa sasa anamshukuru sana Mungu amepona na yuko...
WALICHOMFANYA KIUNGO WA SIMBA LUIS MATAPELI ACHA KABISA
LUIS Miquissone nyota wa Simba amejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia baadhi ya watu ‘matapeli’ kutumia jina lake katika mitandao ya kijamii kuomba pesa kwa viongozi na wachezaji wa timu hiyo.Kiungo huyo alimejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambayo ilikuwa imemtoa kwa mkopo katika klabu ya UD do Songo kutoka kwao Msumbuji.Luis...
THOMAS PARTEY KUIBUKIA ARSENAL MSIMU UJAO
THOMAS Teye Partey, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Atletico Madrid inayoshiriki La Liga inaripotiwa kuwa msimu ujao atajiunga na Klabu ya Arsenal inayoshiriki Ligi Kuu England. Kiungo huyo mwenye miaka 26 raia wa Ghana amejiunga na Atletico msimu wa 2015 mpaka sasa amecheza jumla ya mechi 118 akitupia mabao 11.Nyota huyu ambaye ni raia wa Ghana kwa sasa inaelezwa kuwa...
HASHEEM IBWE AWAOMBA WATANZANIA WAENDELEE KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI YA VIRUSI VYA CORONA
HASHEEM Ibwe, mwandishi wa Habari za Michezo kutoka kituo cha Azam TV amesema kuwa kwa kipindi hiki ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari kujilinda dhidi ya Virusi vya Corona.Ibwe ambaye amekuwa akikonga nyoyo za mashabiki wa Azam TV kutokana na mbwembwe zake akiwa anatangaza mechi huku ile swaga yake kwenye mechi ya Simba dhidi ya Yanga,"Kagere anatetema, sio mimi...
MTUPIAJI WA LIPULI HIKI NDICHO ANACHOKIFANYA KWA SASA
DARUESH Saliboko, nyota anayekipiga ndani ya Lipuli yenye maskani yake mkoani Iringa amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake pamoja na kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Saliboko amekuwa kwenye wakati mzuri msimu huu wa 2019/20 ndani ya Lipuli ambapo kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa alikuwa ametupia mabao nane na ni miongoni mwa...