EYMAEL AWAWEKA CHINI YA ULINZI MASTAA YANGA
YANGA kumbe haitaki mchezo kwa wachezaji wake kwani, imebainika kuwa licha ya Kocha Luc Eymael kuwapa programu ya mazoezi, lakini pia amewaweka watu wa kuwafutilia nyota wake hao ili kuona kila kitu kinakwenda sawa kipindi hiki cha kupisha janga la virusi vya corona.Kumbe unapoona mastaa wa Yanga wakijifua gym na ufukweni ili kujiweka fiti kuna watu wanawafuatilia kuhakikisha wanatekeleza...
OKWI AWAPIGIA GOTI MSIMBAZI
ZIMEBAKI saa zisizozidi 72 kabla ya kumalizika kwa siku 30 za kusimamishwa shughuli zinazohusu mikusanyiko zilizotangazwa na serikali katika kukabiliana na janga na ugonjwa wa covid-19, huku mashabiki wa soka na burudani wakisikilizia kuona mambo yatakuwaje baada ya kukosa uhondo kwa muda wote huo.Serikali ilizuia shughuli zenye mikusanyiko na kusababisha kusimamishwa kwa Ligi na michezo mingine sambamba na burudani,...
YANGA YA GSM WAIFUATA SAINI YA ‘KIBERENGE’ CHA AS VITA YA CONGO
KATIKA kuhakikisha wanafanikiwa kunasa saini ya winga wa As Vita, Tuisila Kisinda, uongozi wa Yanga unatarajia kutuma mwakilishi kwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ili kukamilisha mchakato wa usajili.Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Yanga zinasema tayari wameshajiandaa kumtuma kiongozi mmoja kwenda DRC kumsajili Kisinda kama ilivyopendekezwa na Kocha Mkuu, Luc Eymael."Kiongozi mmoja wa GSM anatarajia kusafiri kuelekea...
KAGERA WATIA NGUMU MAXIME KUTUA YANGA
BAADA ya kuwapo kwa tetesi za Yanga kuendelea kumwania Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime, uongozi wa timu hiyo umesema kocha wake haendi kokote, imefahamika.Inaelezwa kuwa Januari 15 mwaka huu, siku ambayo Yanga iliikaribisha Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, ilimpatia Maxime (pichani) nakala ya mkataba, ambao hadi kufikia jana nahodha huyo wa zamani wa Timu...
HAWA IHEFU WATOE DARASA KWA WAKONGWE NAMNA YA KUJIJENGA NA KUBORESHA MIUNDOMBINU
MIONGONI mwa timu ambazo zinajipanga kwa upande wa miundombinu kila iitwapo leo licha ya kutokuwa na jina kubwa ni pamoja na Ihefu SportsClub.Timu hii inashiriki Ligi Daraja la Kwanza na imekuwa ikileta ushindani mkubwa katika harakati za kupambania ndoto ya kupanda Ligi Kuu Bara.Itakumbukwa kuwa kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho walipokutana na Azam FC waliwapa tabu kidogo na...
MTUPIA MABAO NAMBA MOJA NDANI YA YANGA KUSEPA MAZIMA
KLABU ya ES Setif inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria imeweka ofa mezani kwa ajili ya kumnasa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga ‘Falcao’.Nyota huyo ambaye ni mpachika mabao namba moja ndani ya Yanga amekuwa hana nafasi ya kudumu kikosi cha kwanza kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona.Nyota huyo kwa sasa anafikiria kusepa ndani...
NONGA: MUHIMU KWA WACHEZAJI KUCHUKUA TAHADHARI NA KUFANYA MAZOEZI
NAHODHA wa Lipuli, Paul Nonga amesema kuwa kwa sasa wanaendelea kuchuukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona huku wakilinda vipaji vyao kwa kufanya mazoezi binafsi.Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi binafsi.Akizungumza na Saleh Jembe, Nonga amesema kuwa kwa sasa ni ngumu kufanya mazoezi kwa pamoja lakini kila mmoja...
POLISI TANZANIA YATUMA UJUMBE HUU KUHUSU VIRUSI VYA CORONA
MALALE Hamsini, Kocha Mkuu wa Ndanda FC amesema kuwa ni jambo la msingi kwa kila mmoja kwa sasa kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona.Janga la Virusi vya Corona limesababisha shughuli nyingi kusimamishwa ili kuepusha maambukizi zaidi ikiwa ni pamoja na upande wa soka.Malale ambaye kikosi chake cha Polisi Tanzania kilikuwa kwenye ubora wake kabla ya ligi kusimamishwa amesema:"Muhimu...
ILIKUWA KITAMBO, SAINI YA NAHODHA WA MTIBWA SUGAR NA SASA NI KOCHA MKUU, CHEKI MAFANIKIO YAKE
KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zubery Katwila mkataba wake wa kwanza kusaini ilikuwa ni mwaka 1999 mbele ya mmoja wa wakurugenzi wa wakati huo Mr. Bube.Katwila alikuwa kwenye wakati mzuri alipojiunga na Mtibwa Sugar kwani mwaka huo wa 1999 timu yake ilitwaa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara na ilitetea pia taji hilo mwaka 2000 kwa mujibu wa Ofisa...
ISHU YA CHAMA NA KANDA YANGA WAIKOMALIA, HUYU HAPA SAUTI YA MWISHO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna mashaka iwapo Kocha Mkuu, Luc Eymael atapendekeza majina ya nyota wawili wanaokipiga ndani ya Simba ambao ni Deo Kanda na Clatous Chama watue jangwani. Kanda na Chama wamekuwa wakihusishwa kutua ndani ya Yanga ambayo inahitaji kuunda kikosi cha ushindani msimu ujao.Ofisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema kuwa muda utazunguza hasa wakati...