MHARIRI WA MAGAZETI YA GLOBAL GROUP AWASHUKURU WALIOMTAKIA MEMA SIKU YA KUMBUKIZI YAKE YA KUZALIWA

0

SIFAEL Paul, mhariri wa Magazeti Pendwa ya Global Group, leo amefanyiwa bonge moja ya 'surprise' na Uongozi wakati akitimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa huku akiwa kwenye nafasi ya uhariri kwa miaka 10. Paul kwa sasa anasimamia gazeti la Ijumaa Wikienda ambalo linatinga mtaani kila Jumatatu kwa bei ya shilingi mia nane na Ijumaa ambalo lipo mtaani kila Ijumaa kwa bei...

KOCHA TANZANIA PRISONS: TUZIDISHE DUA TUTOKE KWENYE JANGA LA CORONA

0

ADOLF Rishard, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa kwa wakati huu tuliopo ni muhimu kwa watanzania kuzidisha dua ili nchi itoke kwenye janga hili la Corona na dunia nzima kiujumla.Kwa sasa Ligi Kuu nyingi duniani zimesimamishwa kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona ambavyo wataalamu wanaeleza kuwa vinaenea kwa njia ya hewa.Akizungumza na Saleh Jembe, Rishard amesema kuwa...

PACHA YA BOCCO NA KAGERE ILIANZA KUNOGA

0

NAHODHA wa Simba, John Bocco na mshambuliaji Meddie Kagere walianza kutengeneza pacha nzuri kwa kutengeneza urafiki na nyavu kabla ya Ligi Kuu Bara kusimama.Bocco na Kagere wakati Simba ikiwa imefunga mabao 63 wamehusika kwenye mabao 30 ambapo Kagere amefunga mabao 19 na kutoa  pasi tano za mabao huku Bocco akifunga mabao manne na kutoa pasi mbili za mabao.Kwa sasa...

MBELGIJI WA SIMBA HESABU ZAKE ZIPO NAMNA HII

0

SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa bado kuna mambo hayajakamilika ndani ya Simba kutokana na malengo waliyojiwekea hivyo iwapo Ligi Kuu Bara itarejea wataendelea pale walipoishia.Ligi Kuu Bara pamoja na ligi nyingine duniani zimesimamishwa ili kupisha maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona.Wakati ligi ikisimamishwa Simba ilikuwa nafasi ya kwanza na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28."Tuna...

KOCHA MANCHESTER UNITED AWATAKA WACHEZAJI KUWATUMIA WAKE ZAO KUFANYA MAZOEZI

0

OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United amewataka wachezaji kutumia muda huu wa mapumziko kupata ushauri kutoka kwa wapenzi wao, wake zao ili kupata nguvu ya kufanya mazoezi.  Ligi Kuu England pamoja na ligi nyingine duniani zimezimamishwa kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Solskajer amesema:" Katika wakati huu mgumu ambao tunapitia itakuwa vema kwa kila mchezaji kutumia ushauri...

ABDI BANDA: TUNAPIGA MATIZI KAMA KAWAIDA

0

ABDI Banda nyota wa Tanzania anayekipiga ndani ya Klabu ya Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini amesema kuwa wanapiga matizi kama kawaida ili kulinda vipaji vyao lakini ni ndani ya nyumba.Kwa sasa Ligi ya Afrika Kusini na nyingine nyingi duniani zimesimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona."Tunapiga mazoezi huku kwa sasa licha ya kwamba hali sio shwari...

NIYONZIMA AGOMEA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA

0

HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kustaafu kucheza mpira kutokana na uwezo wake alionao ndani ya uwanja.Niyonzima amesema kuwa bado anajua anahitajika ndani ya uwanja kwani uwezo na ujuzi unadumu."Kwa sasa sina mpango wa kustaafu kucheza soka kwa sasa nitaendelea kupambana ili kuwa bora na kufanya vizuri ndani ya uwanja."Wapo wanaotaka itokee...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa UKURASA wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI IJUMAA

KWA KOLABO TU, JIDE NI HABARI NYINGINE

0

UNAPOZUNGUMZIA wasanii waliofanya kolabo nyingi ndani na nje ya Bongo, huwezi kuliweka pembeni jina la Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ukipenda unaweza kumuita Jide.Mwanamke huyu wa shoka kutokana na uwezo wake, kapita mishale mingi ndani ya muziki wa Bongo Fleva, amepewa majina mengi tu ikiwemo Binti Machozi, Anakonda na Komando.Kwa miaka 20 sasa ndani ya Bongo Fleva, amefanya vizuri...

BERNARD MORRISON: SIMBA WALIKUWA NA HAKI YA KUNIFUATA

0

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa Simba walikuwa wana uhuru wa kuzungumza naye ili kumpa dili kwa kuwa yeye ni mchezaji mzuri na anajua uwezo wake alionao habahatishi.Kiungo huyo mwenye mabao matatu alikuwa anawindwa na wapinzani wa Yanga ambapo walitaka kuipata saini yake jambo lililokwama mwishoni baada ya Yanga kumpa dili la miaka miwili.Akizungumza na Saleh Jembe,...