Ni 5-3-2 pekee itakayo ‘inusuru’ Stars na ‘dhoruba’ la Senegal

0

Timu YA SOKA YA Taifa Ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inataraji kucheza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi katika fainali za kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Senegal ‘Simba wa Teranga’ katika dimba la Juni 30 huko nchini Misri huku nyuma kukiwa na madai ya uwepo wa mgomo wa wachezaji jana Jumamosi wakishinikiza kulipwa stahiki...

MSUVA ATUMA UJUMBE SENEGAL

0

MSHAMBULIAJI nguli wa Taifa Stars, Simon Msuva amewataka Watanzania wote kutokuwa na wasiwasi na mchezo wa leo wa Afcon dhidi ya Senegal kwani wamejipanga vilivyo.Taifa Stars leo saa 2 usiku itashuka uwanjani kupambana na Senegal katika mchezo wake wa kwanza katika fainali hizo utakaochezwa kwenye Uwanja wa 30 June huko nchini Misri.Msuva ambaye ni winga za zamani wa Yanga...

KIFO CHA BIBI HARUSI ALIYEKUFA AKIENDA SEND OFF DAR BWANA HARUSI ATAK A KUJIUA

0

MSIBA wa bibi harusi, Diana Jackson aliyefariki dunia kwa ajali wakati akienda kwenye ‘Send Off’ yake Dar es Salaam, umemvuruga mchumba wake hadi kutaka kujiua.  Habari kutoka chanzo chetu zinasema kuwa Elisante Edward ambaye alikuwa mume mtarajiwa wa Diana, alishindwa kuipokea taarifa ya kifo cha mtarajiwa wake na kujikuta akipoteza fahamu.HABARI KAMILI“Baada ya ile ajali (iliyotokea Jumatano wiki hii...

BAADA YA KUZINGUA, SABABU ZA CHIRWA KURUDISHA MAJESHI AZAM FC HIZI HAPA…

0

Mzambia Obrey Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji nane ambao hawatokuwa nao msimu ujao, kuona hivyo jamaa akajiwahi na jana kasaini mkataba wa mwaka mmoja.Azam ipo kwenye maandalizi makali ya Kombe la Kagame litakaloanza Julai mwaka huu, pia itashiriki Kombe la Shirikisho...

EXCLUSIVE!! YANGA YANASA KIFAA KUTOKA SIMBA

0

Klabu ya Yanga Princess imekamilisha usajili wa mchezaji Asha Abdul Malamwa kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili.Asha amejiunga na Yanga Princess akitokea katika kikosi cha Simba Queens.Mkataba wa Asha na Yanga Princess utadumu mpaka mwaka 2021.

TUZIJADILI HOJA ZA ROSTAM MSITARI KWA MSTARI, MIHEMKO KATIKA HILI SI JIBU SAHIHI

0

Na Saleh AllyNILIFIKA nyumbani kwa mwanasiasa maarufu Rostam Aziz baada ya kualikwa kama mkongwe wa masuala ya habari za michezo nchini.Nilifika pale kwa lengo la kusikiliza kilichokuwa kikizungumzwa na hasa baada ya kuthibitishiwa, suala litakalozungumziwa litakuwa ni la michezo.Michezo ndiyo maisha yangu ya kila siku. Nilitaka kujua Rostam anazungumzia nini. Wakati nikiwa njiani, niliwaza sana, nikajiaminisha naye alikuwa amepanga...

DAN ALVES ATANGAZA KUACHANA NA PSG

0

Mlinzi wa kulia wa klabu ya Paris Saint-Germain, Dani Alves ametangaza kuihama klabu hiyo majira haya ya jotoKupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Alves mwenye umri wa miaka 36 amesema kuwa anaweza kuanza maisha mapya msimu wa 2019/20 ingawa hajaweka wazi ni klabu gani ataenda.“Ukurasa mwingine mpya kwenye maisha yangu unafungwa leo, ukurasa wenye mafanikio ambao nimejifunza na kuongeza...

BALINYA AMFUNIKA MEDDIE KAGERE SIMBA

0

MSIMU ujao wa Ligi Kuu Bara macho na masikio yote yatakuwa kwa washambuliaji, Juma Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili na Mnyarwanda, Meddie Kagere aliyekuwa mfungaji bora wa msimu uliopita.Lakini rekodi za Wachezaji hao wawili zinambeba zaidi Balinya ambaye idadi ya penalti kwenye mabao yake ni chache zaidi kuliko Kagere.Balinya ni kati ya wachezaji nane waliosajiliwa na Yanga hivi...