Baada ya kuchapwa 2-0,2-0, Harambee Stars vs Stars si mchezo wa marudio, ni vita

0

UKIZITOA timu wenyeji wa michuano Misri, Morocco na Algeria ambao tayari wamekwishacheza na Tunisia wanaotaraji kucheza mchezo wao wa kwanza katika Kundi la Nne, timu nyingine 11 zenye wachezaji ‘weusi’ tu zina tatizo ‘kubwa la kufanana’.Nje ya tatizo la kimbinu na ufundi, ‘Ball touches’ ya kwanza imekuwa tatizo kubwa kwa timu za Zimbabwe, DR Congo, Uganda, Nigeria,...

Tusimlaume FEI TOTO, Tatizo liko hapa !

0

Jana tulikuwa na mechi ya kwanza ya mashindano ya Afcon baada ya kukaa miaka 39 bila kushiriki michuano hii mikubwa barani Afrika.Kwa bahati mbaya mechi yetu ya kwanza ilikuwa dhidi ya Senegal, timu ambayo ni kubwa sana kwetu na timu ambayo ni bora katika bara la Afrika.Matokeo yaliyotokea yalikuwa ni matokeo ambayo yalitegemewa kwa sababu Senegal imeizidi...

MAZEMBE YAWAFUATA FEI TOTO, TSHABALALA DAR

0

KIGOGO wa TP Mazembe yupo Jijini Dar es Salaam kufanya mazungumzo ya awali na Simba na Yanga. Si hao tu pia wanazungumza na wakala wa straika wa Serengeti Boys, Kelvin John ‘Mbappe’.Habari za uhakika ambazo Spoti Xtra imezipata kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Yanga ni kwamba, Mazembe wanawataka wachezaji hao watatu kwa mpigo lakini mazungumzo yako kwenye hatua...

TAZAMA MAKALI YA KIPYA MPYA ANAYETAJWA KUTUA YANGA – VIDEO

0

Tazama makali ya kipa Farouk Shikalo anayetajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kusajiliwa na Yanga.

KAMBI YA YANGA NI BAB KUBWA

0

WAKATI Yanga wakiwa wanakamilisha zoezi la usajili ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao imebainika kwamba viongozi wa timu hiyo chini ya mwenyekiti wake, Mshindo Msolla wanaandaa kambi babkubwa itakayokuwa ugenini kwa ajili ya kikosi hicho.Yanga wana mipango ya kuanza kambi mapema kama agizo la kocha wao Mwinyi Zahera ambaye anataka timu hiyo iunge vizuri kabla ya kuanza kwa...

NAMNA SAA SABA YA MCHANA SIMBA ITAKAVYOKUWA TAMU TENA LEO

0

Mabingwa wa Ligi kuu Bara kwa msimu huu Simba SC wanaendelea tena na ratiba yao ya kutangaza wachezaji wapya.Simba imejiwekea ratiba ya kila ifikapo saa saba itatangaza wachezaji wapya iliowasajili kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Kupitia ukurasa wao wa Instagram, Simba wameandika juu ya namna saa saba navyosubiriwa leo huku wakiposti picha ya Zana Coulibaly.

STARS YAPIGWA 2-0 AFCON NA SENEGAL

0

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kimepoteza mchezo wa kwanza wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kufungwa mabao 2-0 na Senegal.Stars imepoteza mchezo wake ikiwa ni mara ya kwanza inashiriki mashindano hayo baada ya miaka 39 kupita.Mabao ya Senegal yamewekwa kimiani na Keita Balde mnamo dakika ya 28 na Krepin Diatta katika dakika ya 64.Ushindi huo wa...

VIKOSI VYA TANZANIA NA SENEGAL HIVI HAPA

0

Vikosi vya Taifa Stars na Senegal vitakavyocheza katika mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika

JE SAMSUNG NA OPPO WATAWEZA KUJIBU MASHAMBULIZI HAYA YA Infinix NOTE 12 VIP KIRAHISI…?

0

Leo tuangazie simu mpya na bora ya Infinix NOTE 12 VIP, na mwishowe tutajua ni kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ya simu za makampuni mengine kama Samsung A53 au Oppo Reno 7 kwa kuangalia sifa za ndani na njee pamoja na bei za simu hizi CAMERATukianza na camera simu ya Infinix NOTE 12 VIP ina camera yenye MP...