LEICESTER CITY YAZIKAZIA MANCHESTER CITY NA UNITED KWA BEKI WAO
BRENDAN Rodgers bosi wa Leicester City amethibitisha kwamba tayari timu yake imeachana na ofa za timu mbili ambazo zilikuwa zinahitaji huduma ya beki wao wa kati Harry Maguire.Licha ya ofa hizo mbili kwa nyota huyo wa Taifa la England ambaye alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Scunthorpe siku ya Jumanne na waliibuka na ushindi wa...
HAJI MANARA AMZUNGUMZIA JACKLINE WOLPER
Alichokiandika ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kutokana na kitendo cha Mwingizaji Jackline Wolper kuwarushia Waandishi wa Habari fedha.
CAF YAFANYA MABADILIKO KWA MECHI ZA LIGI YA MABINGWA AFRIKA, SIMBA NA YANGA KAZI KWENU
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya mechi za mashindano makubwa.Mabadiliko hayo ni kuanzia msimu ujao wa 2019/20 ambapo limepitisha maamuzi ya mechi za fainali kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup) na klabu bingwa Afrika (CAF Champions League).Kilichobalika ni kuchezwa mechi moja tu badala ya mechi mbili za nyumbani na ugenini.Aidha, mechi hizo za fainali zitachezwa katika...
SONSO AVUNJA UKIMYA, AAMUA KUFUNGUKA BAADA YA KUTEMWA STARS NA NDAYIRAGIJE
Mchezaji wa zamani wa Lipuli na sasa Yanga, Ally Sonso anayecheza nafasi ya beki, ameibuka na kueleza hana kinyongo kuhusiana na kutoitwa katika kikosi cha Taifa Stars.Katika kikosi cha wachezaji kilichoitwa na Kocha Mrundi Ettiene Ndayragije hivi karibuni baada ya kuteuliwa kukaimu nafasi hiyo kutokana na aliyekuwa Kocha Emmanuel Amunike kufukuzwa kazi, Sonso hajajumuishwa licha kuwa sehemu ya kikosi...
KIONGOZI YANGA AACHANA NA SOKA, AKIMBILIA KWENYE MUZIKI, ADAI SOKA HALILIPI
Ikiwa ni takribani siku kadhaa sasa zimepita tangu kuachia ngazi kwa aliyekuwa Kocha wa Makipa wa Yanga, Juma Pondamali 'Mensa', mchezaji huyo wa zamani wa Yanga amesema ameamua kuingia kwenye muziki.Mensa ambaye amekuwa akijulikana kwa mbwembwe nyingi katika wadhifa wake, ameamua kuingia kwa muziki akisema kuwa unalipa kuliko soka."Nataka niwambie kuwa muziki una hela, nimeamua kuingia huko."Muziki ni kazi...
MZEE KILOMONI WALA HAJAPOA, AJA NA TAMKO LINGINE ZITO JUU YA HATI SIMBA, MAGORI ATAJWA
Mzee Hamis Kilomoni ambaye mpaka sasa amekuwa akisisitiza kuwa hajaondolewa kwenye Baraza la Wazee wa Simba, amefunguka na kusema hatishwi na kauli za viongozi wa klabu hiyo.Kilomoni ameamua kufunguka kuwa anatarajia kutoa kauli yake ya mwisho wiki hii atakapoitisha kikao na waandishi wa habari.Maamuzi ya kuitisha kikao hicho yametokana na tamko la Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori ambaye...
MASHABIKI WANAAMINI DEMBELE ATAPELEKWA NA GRIEZMANN LIVERPOOL
MASHABIKI wa Liverpool wamebeba imani kwamba kusajiliwa kwa Antonie Griezmann kutawapa neema ya kumpata nyota wa kikosi cha Barcelona, Ousmane Dembele.Barcelona waliweka mezani kitita cha pauni milioni 108 na kumsajili winga, Griezmann ingawa jambo hilo bado linapingwa na klabu yake ya Atletico Madrid.Mashabiki wa Livepool wanaamini kuwa kitendo cha nyota huyo kutua Barcelona kitampa wakati mgumu wa kupata namba...
HUKU UNITED IKIMPIGA MTU 4-0, RASHFORD NA POGBA WACHEZAJI BORA WA MECHI
MARCUS Rashford mshambuliaji wa Manchester United leo ameibuka mchezaji bora wa mchezo wa kirafiki dhidi ya Leeds ambao ni maalumu kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.United kwa sasa wameweka kambi nchini Australiana kwenye mchezo wa leo wameibuka na ushindi wa mabao 4-0.Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer amesema kuwa ameshangazwa na uwezo wa Rashford ambaye ametupia pia bao pamoja...
DUH! KAMBI YA SIMBA SI YA MCHEZOMCHEZO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara kwa sasa wameweka kambi nchini Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.Simba watapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya kimataifa na wana kibarua kizito cha kutetea taji lao tena.Dozi wanayoipata nchini Afrika Kusini ni asubuhi na jioni na kambi waliyoweka sio ya mchezomchezo kwani ilitumiwa na timu ya Taifa ya Uingereza...