YANGA MAMBO SAFI, YAKAMILISHA VIBALI VYA MASTAA WAKE

0

UONGOZI  wa yanga umefunguka kuwa tayari umekamilisha suala la vibali vya kazi na makazi kwa wachezaji wao wote wapya ambao wamesajiliwa msimu huu.Nyota wa kimataifa waliosajiliwa na Yanga kipindi hiki ni Patrick Sibomana, Juma Balinya, Maybin Kalengo, Farouk Shikalo, Issa Bigirimana, Lamine Moro, Sadney Urikhob na Mustapha Selemani.Wachezaji hao baadhi wameshaanza majukumu yao kwa kuwa kambini mkoani Morogoro kwa...

WATANO WAPEWA MKONO WA KWA HERI SIMBA

0

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa tayari msimu ujao hawatakuwa na nyota wao watao ndani ya kikosi cha Simba.Magori amesema wachezaji hao tayari wamemaliza kandarasi na Simba na wamewaambia kwamba hawatawapa  kandarasi mpya mpaka wakati mwingine.Nyota ambao tayari wamemaliza mkataba ndani ya Simba ni pamoja na Haruna Niyonzima ambaye kwa sasa amepata timu mpya Rwanda, Emmanuel...

NIGERIA WABABE KINOMA KWA TUNISIA, DAKIKA 90 ZITAAMUA LEO

0

UWANJA wa Al Salam leo nchini Misri wanaume 22 watazitikisa nyasi kwenye mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Afcon.Nigeria itamenyana na Tunisa ambao wote walipoteza kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali iliyochezwa Jumapili.Tunisia ilipoteza mbele ya Senegal kwa kufungwa bao 1-0 huku Nigeria wakipoteza mbele ya Algeria kwa kufungwa mabao 2-1.Zimekutana mara nne ambapo Nigeria...

AKILI ZA KIPUUZI ZA UWOYA YES, LAKINI CHANGANYA NA ZAKO BASI….

0

*Walioingia mtegoni, wanapaswa kujitafakariNa Saleh AllyUTAMBULISHO mzuri kwa sasa ni kuwa Irene Uwoya ni mfanyabiashara anayechipukia. Mwanadada ambaye angepaswa kupongezwa kutokana na wazo lake la kuanza kuwekeza.Yeye ameamua kuwa mfanyabiashara au mjasiriamali tofauti na wengine ambao wangeamini katika kitu kimoja. Mfano yeye, ni msanii, angeweza kuona ni sahihi kubaki kama muigizaji pekee.Ajabu kabisa, sasa Uwoya huyo amezua mjadala unaosambaa...

RATIBA YA ROBO FAINALI NDONDO CUP

0

RATIBA ya robo fainali ya michuano ya Ndondo Cup ipo namna hii:-Friends Rangers v Uv Temeke uwanja wa Kinesi, Julai 18.Burudani FC v Ball Kipaji uwanja wa Bandari, Julai 19.Toroli Combine v Ninga FC uwanja wa Bandari, Julai 20.Millenium FC v Uruguaay FC, uwanja wa Bandari, Julai 21.

AZAM FC WACHEKELEA KUIPOTEZEA RAMANI TP MAZEMBE

0

OFISA Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wachezaji na uongozi wa timu kwa sasa wanafuraha baada ya kuwang'oa vigogo TP Mazembe.Jana Azam FC iliwatoa mashabiki wa Tanzania kimasomaso kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali michuano ya Kagame."Haikuwa kazi nyepesi kwani wao walianza kutufunga, wachezaji walitambua...

IRENE UWOYA, STEVE NYERERE WAITWA BASATA

0

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limewataka wasanii wa filamu Bongo, Irene Uwoya na Steve Nyerere,  kufika katika ofisi za baraza hilo  kesho, Julai 17, 2019,  kufuatia kitendo chao cha kuwarushia fedha waandishi wa habari wakati wa kikao jana Julai 15.Hata hivyo, Uwoya amewaomba radhi waandishi kufuatia kitendo hicho kilichosababisha baadhi ya waandishi kuharibu baadhi ya vifaa vyao kutokana...

SABA WA SIMBA KIKOSI CHA KWANZA KUTOLEWA KWA MKOPO KWENDA TIMU HIZI

0

UONGOZI wa Simba umepanga kuwatoa kwa mkopo wachezaji wake Saba ambao wamekosa namba ndani ya kikosi cha kwanza.Ofisa Mtendaji wa Simba, Cresnticentius Magori amesema kuwa tayari wamefika makubaliano mazuri na wachezaji wao hivyo kwa sasa wanakamilisha hatua za mwisho.Wachezaji ambao wanatolewa kwa mkopo ni pamoja na  Mohamed Ibrahim (Mo), ambaye anaweza kujiunga na Namungo FC ya Lindi, Marcel Kaheza...

BEKI MUSTAFI SHKODRAN AGOMA KUSEPA ARSENAL

0

SHKODRAN Mustafi, beki wa Arsenal amesema kuwa hana mpango wa kusepa ndani ya kikosi hicho msimu ujao.Mustafi amesema kuwa atabaki ndani ya kikosi hicho na kupambania namba ndani ya kikosi cha kwanza.Licha ya kuwa ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa ndani ya kikosi cha Arsenal kutokana na makosa yake mengi uwanjani.Arsenal inakabiliwa na tatizo la beki kwani msimu ulipita iliruhusu...