WINGA MPYA YANGA AAHIDI KUIPOKA SIMBA KOMBE LA LIGI KUU
Winga mpya matata wa Yanga Mnyarwanda, Patrick ‘Papy’ Sibomana amefurahia mapokezi aliyoyapata Jangwani na kuahidi kuifanyia makubwa timu hiyo ikiwemo kuipa mataji ya ubingwa.Kauli hiyo aliitoa Mnyarwanda hivi karibuni akiwa kambini mkoani Morogoro wakijiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika, mwaka huu.Sibomana ni kati ya wachezaji 13 wapya waliosajiliwa na Yanga kwa kwa...
NYOTA MPYA SIMBA ATAJA KILICHOIPA UBINGWA MSIMU ULIOPITA
BEKI wa kikosi cha Simba Gadiel Michael amesema kuwa kikosi cha Simba kipo imara tangu msimu uliopita jambo lililoipa ubingwa.Gadiel kwa sasa yupo na Simba Afrika Kusini baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga."Simba ni timu bora na imara tangu msimu uliopita ndio maana iliweza kutwaa ubingwa, nina imani msimu ujao tutashirikiana vema kufanya vizuri na kufikia...
AZAM FC V TP MAZEMBE JINO KWA JINO LEO
IDDY Naldo mshambuliaji wa Azam FC dk 28 anairejesha mchezoni timu yake baada ya kusawazisha bao 1-1 bao lililofungwa na Ipammy Giovany dk ya 21.Kwa sasa ni kipindi cha pili ambapo Azam FC wakiwa ni mabingwa watetezi wa kombe hili ndio wawakilishi pekee wa Tanzania baada ya KMC kuondolewa kwenye hatua za awali wakiwa na pointi nne.
DOZI YA SIMBA AFRIKA KUSINI NI MOJA MARA MBILI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa dhamira kubwa ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini ni kujiweka sawa kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20 unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Wakiwa Afrika Kusini wanafanya mazoezi mara mbili kwa siku asubuhi na jioni kujiweka sawa wakiwa maeneo ya Rustenburg, Afrika Kusini.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa mipango ipo sawa na kambi...
HILI NDILO JESHI LA AZAM FC LINALOTOANA JASHO NA TP MAZEMBE LEO KAGAME
Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachomenyana na TP Mazembe kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Nyamirambo leo Jumanne 16 Razak Abalora02 Abdul Omary26 Bruce Kangwa (C)15 Oscar Masai03 Daniel Amoah05 Yakubu Mohammed22 Salmin Hoza28 Masoud Abdallah13 Idd Seleman11 Donald Ngoma10 Obrey Chirwa
MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR
Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.Urikhob ametua nchini na sasa ataelekea mjini Morogoro kujiunga na wenzake kwa ajili ya kambi maalum inayoendelea.Mshambuliaji huyo alishamalizana na Yanga kwa kuingia nao mkataba wa miaka miwili.Pro huyo amepokelewa na viongozi wa Yanga katika Uwanja wa Ndege na sasa kinachofuata ni...
EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA
Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa wakili huyo zinazothibitisha mdhamini huyo Mzee Hamis Kilomoni siyo mdhamini tena wa klabu yetu ya Simba.Taarifa hii ilitolewa leo na Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kwenye mkutano wake na wanahabari.
CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA
Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye Jackpot ya SportPesa. Kulia ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano SportPesa, Bi Sabrina Msuya.
HILO DAU LA LEROY SANE WA MANCHESTER CITY LAZIMA UKAE
UONGOZI wa timu ya Bayern Munich umethibitisha suala la kuitaka saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kari Heinz Rummenigge amekiri kuwa klabu yake inaiwinda saini ya nyota huyo wa Manchester City.Rumminigge amesema kuwa hata hivyo klabu hiyo inahitaji mkwanja mrefu ili kuwapa nyota huyo.City wanahitaji dau la shilingi pauni milioni 100 ili kumuachia nyota...
CAF YAIRUHUSU SIMBA KUTINGA JEZI YA KIJIVU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa msimu ujao Simba watatumia jezi ya rangi nyekundu nyumbani na rangi nyeupe ugenini huku wakitumia rangi ya kijivu pale timu zinapogongana rangi.Mtendaji mkuu wa timu ya Simba, Crecentius Magori amesema kuwa mpango huo ni kutokana na utaratibu wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) "Timu imeweka kambi nchini Afrika Kusini ikiwa ni maalumu kwa ajili...