DIDA; NINA OFA TANO MKONONI KWA SASA

0

 Deogratius Munish, mlinda mlango huru baada ya kuachana na Simba amesema kuwa ana ofa tano mkononi mwake kwa sasa.Dida hana timu na anatumia muda mwingi kujifua ili abaki kwenye ubora wake anatajwa kujiunga na timu ya Mtibwa Sugar ambayo amewahi kuitumikia.Dida amesema kuwa kwa sasa bado mazungumzo yanaendelea na taratibu zikikamilika atataja timu atakayokwenda."Nina ofa tano mkononi kwa timu...

YONDANI AAHIDI MACHUNGU KWA WAPINZANI

0

BEKI mwenye nafasi kubwa ya kupewa unahodha wa Yanga msimu ujao, Kelvin Yondani amekiri kwamba kikosi hicho kimesheheni.Mchezaji huyo wa zamani wa Simba, alisema ana uhakika kwamba timu hiyo itacheza soka la kueleweka sasa kutokana na kusajili mafundi wanaojua. Lakini amekiri kwamba kwenye nafasi yake kuna ushindani mkubwa kutokana na idadi kubwa ya wachezaji waliosajiliwa lakini hajawahi kufeli wala kuhofia...

AJIBU AWATAKA SIMBA WATULIZE BOLI, MSIMU NI WAO

0

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu.Ajibu ambaye msimu uliopita wa 2018-19 alikuwa kinara wa asisti ndani ya ligi akiwa nazo 17 na pia alitupia mabao sita kwa sasa ni mali ya Simba ambapo amesaini kandarasi yamiaka miwili.“Bado msimu haujaanza, utakuwa muda mzuri kwetu kujipanga vema kwa ajili...

MWADUI FC WASHINDA VITA YA KUIPATA SAINI YA NYOTA WA MTIBWA SUGAR

0

Mwadui FC imeshinda vita ya kuipata saini ya beki wa Mtibwa Sugar, Rojas Gabriel ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja.Gabriel alikuwa anawindwa na timu ya Kagera Sugar , Singida United na Namungo ambapo Mwadui FC waliikomalia saini yake mpaka akakubali kumwaga wino.Akizungumza na Saleh Jembe, Gabriel amesema kuwa  anafurahi kupata changamoto mpya atapambana kutimiza majuku yake."Kazi yangu ni mpira...

HUYU NDIYE PILATO WA FAINALI YA AFCON KATI YA SENEGAL NA ALGERIA

0

BAMLAK Tessema mwenye umri wa miaka 39 raia wa Ethiopia ameteuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (Caf) kuchezesha mchezo wa fainali ya michuano ya Afcon utakaochezwa Ijumaa kati ya Senegal na Algeria uwanja wa kimataifa wa Cairo.Fainali inatajwa kuwa na msimko wa kipekee kutokana na timu zote mbili kuhitaji kuwa mabingwa wa michuano hii mikubwa.Algeria na Senegal wote walikuwa...

SIMBA YAKIRI KUTOMLIPA MCHEZAJI MURSHID MSHAHARA WA MIEZI MIWILI, YATAJA SABABU

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa ni kweli unadaiwa na mchezaji wao Juuko Murshid anayecheza timu ya Taifa ya Uganda ila haina mpango wa kuachana naye kizembe.Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa, Murshid ni mtoro wa timu anapaswa arejee haraka kabla ya kuchukuliwa hatua."Tunadaiwa na Murshid mshahara wa miezi miwili, haina maana tunashindwa kumlipa hapana, yeye ametoroka kambini...

NGASSA: TUTAPAMBANA KIUKWELI MSIMU UJAO

0

KIUNGO mshambuliaji  wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema kuwa anafuraha kuona anaendeleza makali yake ndani ya kikosi hicho na anaamini watapambana kiukweli msimu ujao.Ngassa jana alifunga hat trick kwenye ushindi wa mabao 10-1 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzanite FC uliochezwa uwanja wa Highlands Parks, Moro.Akizungumza na Saleh Jembe, Ngassa amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwake na timu pia...

UNITED YAMKOMALIA POGBA

0

OLE Gunnar Solskjaer, Meneja wa Manchester United amesema kuwa klabu hiyo haina mpango wa kumuuza staa wa timu hiyo Paul Pogba.Pogba hivi karibuni alifunguka kwamba hana mpango wa kubaki ndani ya kikosi hicho anahitaji kupata changamoto mpya."Manchester United ni klabu kubwa, kwa hiyo hailazimiki kuuza mastaa wake, suala la kuamua kama nitabaki na mchezaji gani ama nani nipo tayari...

ISHU YA VITA YA NAMBA NDANI YA SIMBA, GADIEL MICHAEL AMUACHIA MBELGIJI

0

 GADIEL Michael beki wa Simba na timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' amesema kuwa ishu ya namba ndani ya timu yake mpya anamuachia Kocha Mkuu, Patrick Aussems ambaye ni raia wa Ubelgij.Gadiel amesema kuwa haoni haja ya kuanza kufikiria namna gani atacheza ila kikubwa anajipanga kufanya vema kwa ajili ya manufaa ya timu."Sina mpango wa kugombania namba, hilo...

WACHEZAJI WATATU WAONDOKA SIMBA

0

UONGOZI wa Namungo C upo katika mikakati ya mwisho kuhakikisha inawapata wachezaji watatu kwa mkopo kutoka katika klabu ya Simba.Taarifa za ndani ambazo Spoti Xtra imepata ni kwamba Mwenyekiti wa klabu ya Namungo, Hassan Zidadu ametuma maombi ya kupata wachezaji watatu ambao wanamudu kucheza sehemu yakiungo na ulinzi.“Namungo wameomba wachezaji watatu kutoka simba kwa mkopo ambao wanamudu kucheza kama...