KABLA HATA YA LIGI KUANZA, MBRAZIL SIMBA AANZA NA YANGA
Beki mpya wa Simba kutoka Brazil, Gerson Fraga amesema kuwa anatamani msimu mpya uanze haraka ili aoneshe kile alichonacho.Akizungumza mara baada ya kutua nchini Afrika Kusini ambapo kikosi cha Simba kimeweka kambi maalum kujiandaa na msimu ujao, ameelezea matamanio yake ya kucheza Ligi Kuu Bara.Fraga amefunguka kuwa anatamani zaidi pia kucheza mechi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga baada...
JULIO ASHANGAA KOCHA SIMBA KUTOPEWA STARS, ATAJA SABABU
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' ameshangaa kutokuona watanzania wakipewa nafasi ya kuifundisha Taifa Stars.Kauli ya Julio imekuja siku chache mara baada ya Kocha Mrundi Ettiene Ndayiragije kuchaguliwa kukaimu nafasi ya Emmanuel Amunike aliyekuwa akiinoa timu hiyo.Julio amemtaja Abdallah King Kibadeni kuwa mmoja wa makocha ambao wana heshima kuwa katika soka la Tanzania akipendelea wapewe...
AZAM FC KESHO KITAELEWEKA KWA TP MAZEMBE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho lazima wapambane mbele ya TP Mazembe ili kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kagame.Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa hakuna mchezo mwepesi ila wanapeleka timu uwanjani wakitafuta matokeo chanya."Tupo vizuri tutakwenda uwanjani kutafuta matokeo chanya, tunashukuru Mungu tupo salama, tumeanza na tunaendelea kuimarika...
BREAKING: KIKOSI KIPYA STARS CHATANGAZWA KWA AJILI YA CHAN, JUMA KASEJA AREJEA
Etienne Ndayiragije atangaza kikosi kipya kwa ajili ya mashindano ya CHAN
DU SANCHEZ NOMA ANAKUNJA MKWANJA MREFU BALAA, UWANJANI NAKO BALAA
ALEXIS Sanchez staa wa Chile anayekipiga Manchester United anashika namba moja kwa kulipwa mkwanja mrefu ndani ya Ligi Kuu England.Mshahara wake kwa mwezi anaolipwa na mabosi zake United ni pauni milioni mbili sawa na sh. bilioni 5.7.Licha ya kukunja mkwanja huo mrefu uwanjani amepachika mabao matano tu na amecheza mara 45 tangu alipojiunga na kikosi hicho akitokea Arsenal.
UNITED YAPATA KIGUGUMIZI KUZUNGUMZIA ISHU YA LUKAKU, YAIKOMOA MILAN
INTER Milan sasa wanatakiwa kulipa dau la pauni milioni 90 ili kumpata mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku.Raia huyo wa Ubelgiji mwenye umri wa miaka 26 anahusishwa kujiunga Milan na kukikacha kikosi cha United kilicho chini ya meneja ole gunnar solskjær ambaye amesema kuwa hawezi kuweka wazi kama anahitaji kubaki naye ama la."Kile ambacho huwa naongea na wachezaji wangu...
NEYMAR JR MKOROFI, KICHAPO CHA MABAO 6-1 WALICHOKIPATA PSG ADAI HAJAKISAHAU
NEYMAR Jr mwenye miaka 27 bado ameendelea kushinikiza ndani ya klabu yake ya PSG apewe ruhusa ya kusepa mazima.PSG bado hawajakubali kumuachia nyota huyo ndani ya kikosi hicho kutokana na uhitaji waloonao ilihali mwenyewe hana furaha ya kubaki ndani ya kikosi chicho.Neymar amesisitiza kuwa kumbukumbu yake njema kwenye soka ni kitendo cha Barcelona kuinyoosha PSG mabao 6-1 kwenye Ligi...