SENEGAL WAMESOTA KWELI BILA KUTINGA HATUA YA FAINALI AFCON

0

TIMU ya Senegal haijawahi kutwaa kombe la Afcon na Ijumaa watakuwa na kibarua cha kumenyana na Algeria kwenye mchezo wa fainali.Mara ya mwisho Senegal kutinga hatua ya fainali ilikuwa ni mwaka 2002 na muda huo kocha wao Alliou Sisse maarufu kwa jina la Rasta alikuwa akicheza nafasi ya kiungo mkabaji.Imepita miaka 17 tangu watinge hatua hiyo ya fainali ya...

YANGA YALETA BEKI SPESHO

0

UONGOZI wa Yanga umekamilisha taratibu za usajili wa beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Ericky Rutanga anayejiunga na timu hiyo kwenye usajili wa dirisha dogo Ligi Kuu Bara maalum kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Awali, Yanga iliwahi kumfuata beki huyo na kuzungumza naye na kushindwa kufikia muafaka mzuri na kusalia Rayon huku Gadiel Michael aliyekuwa akicheza...

MO ALIAMSHA TENA HUKO

0

MWEKEZAJI wa Simba, Mohamed Dewj, leo ameandika ujumbe mfupi ambao umeacha maswali mengi kwa mashabiki na wadau wa soka kutaka kujua maana ya maneno hayo.Mo amekuwa na kawaida ya kuandika ujumbe mfupi kwenye kurasa zake ambao umekuwa ukiacha maswali mengi kwa wanaomfuatilia kwa sasa.Kupita ukurasa wake wa Instagram, Mo ameandika namna hii : "Uongo unapanda kwa lifti.Ukweli unapanda kwa...

HAYA NDIYO MAKOMBE ANAYOYATAKA NYOTA MPYA WA BARCELONA ANTONIE GRIEZMANN

0

ANTONIE Griezmann, nyota mpya wa Barcelona ambaye amesaini kandarasi ya miaka mitano amesema kuwa hesabu zake kubwa ndani ya kikosi hicho ni kubeba makombe yakutosha.Griezmann amejiunga na Barcelona akitokea Atletico Madrid kwa dau la pauni milioni 108."Nafikiria kuwa nimekuja hapa kupata upinzani mpya na nitafanya mambo makubwa sana kuhakikisha ninakuwa kwenye kiwango kikubwa."La Liga, Copa del Rey na Ligi...

KAZI IMEANZA YANGA, YAPIGA MTU 10-1, BALINYA, SIBOMANA, NGASSA WALIAMSHA

0

MOTO wa Yanga umeanza leo ambapo kwenye mchezo wa kirafiki wameshinda mabao 10-1 dhidi ya timu ya Tanzanite FC mchezo uliochezwa uwanja wa Highlands Park, Morogoro.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro na inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki na AS Vita Agosti 4 uwanja wa Taifa kwenye kilele cha siku ya wananchi.Mabao ya Yanga yamefungwa na Mrisho Ngassa alitupia mabao 3,...

AJIBU ATAJA SABABU YA KUICHUNIA MAZIMA MAZEMBE

0

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa kilichomkibiza TP Mazembe ni maslahi kwani dau alilowekewa na timu hiyo lilikuwa la kishkaji.Mazembe walikuwa wakiisaka saini ya nyota huyo ambaye kwa sasa ni mali ya Simba akiwa amesaini kandarasi ya miaka miwili.Akizungumza na Saleh Jembe, Ajibu amesema kuwa mchezaji siku zote ni sawa na mfanyabiashara anachoangalia ni maslahi kwanza mambo...

ABDI BANDA WA BAROKA FC AONGEZA FURAHA KWA SIMBA

0

BEKI wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anakipiga timu ya FC Baroka ya Afrika Kusini leo amekutana na wachezaji wa Simba pamoja na viongozi ambao wametua timu Afrika Kusini kuweka kambi.Beki huyo ameongeza furaha kwa wachezaji na viongozi wa Simba baada ya kuonana na kupiga picha ya kumbukumbuSimba imeamua kuweka kambi ya muda wa wiki mbili nchini Afrika...

ATLETICO YAPINGA BARCA KUMNYAKUA GRIEZMANN

0

ATLETICO Madrid imepinga kitendo cha Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kinyume cha sheria za usajili.Barcelona ilidai jana imemnyakua Griezmann baada ya kulipa pauni milioni 108 (Sh. bilioni 310) kama ilivyokuwa inaelekezwa kwenye mkataba baina ya Griezmann na Atletico.Kifungu hicho kinatoa ruhusa kuanzia Julai Mosi kwa timu yoyote yenye pauni milioni 108 kutoa fedha hizo na kumchukua mchezaji huyo. Kutokana na...