DUH SIMBA WANA SIFA, WAPANIA KULETA USHINDANI

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa ni kuona timu zote mbili zinakuwa na ushindani msimu ujao wa 2019-20.Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa mipango iliyopo ni kwa timu zote mbili kuanzia ile ya wanawake pamoja na ya wanaume kuleta ushindani."Ni malengo yetu kuona timu zote zinafanikiwa na kuleta ushindani kwenye michuano yote ambayo tutashiriki msimu ujao,"...

FAINALI YA KUNDI LA TANZANIA AFCON ITANOGA KINOMA

0

KOCHA Mkuu wa Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa mchezo wa fainali hautakuwa mwepesi kutokana na timu zote kuwa vizuri.Senegal imetinga hatua ya fainali kwenye michuano ya Afcon inayoendelea nchini Misri kwa ushindi wa bao 1-0 la kujifunga kupitia kwa Dylan Bronn dakika ya 100 baada ya dakika 90 kukamilika bila kufungana."Utakuwa mchezo mgumu hasa ukizingatia ni timu ambayo tulikuwa...

TAMBWE AMPA MAAGIZO ZAHERA

0

Amis Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.Yondani alipewa kitambaa cha unahodha kwenye mechi za maandalizi za msimu uliopita baada ya beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kustaafu lakini baadaye Yondani alivuliwa kwa madai ya utovu wa nidhamu.“Tusubiri tuone kama Zahera atakubali ushauri kuhusu hili la kumrudishia Yondani...

KAGERE AKIMBILIA GYM

0

Wakati  Yanga wakianza mazoezi ya pamoja Jumatatu iliyopita kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba Mnyarwanda, Meddie Kagere naye ameanza kufanya programu binafsi ya gym pekee.Yanga imeingia kambini Jumatatu ikiwa na wachezaji wake wa zamani na wapya ambao wamesajiliwa kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuanza Agosti 23,...

KOCHA MPYA YANGA AANZA KAZI NA KINDOKI

0

KOCHA wa makipa ndani ya Yanga, Peter Manyika amesema kuwa ameanza kazi na mlinda mlango Klaus Kindoki ambaye msimu uliopita mashabiki hawakumkubali kutokana na kufanya makosa mengi ya kiufundi.Moja ya mechi ambayo Kindoki alifanya makosa ya kiufundi ni kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Stand United ambapo aliruhusu kufungwa mabao 3 na Alex Kitenge licha ya Yanga kushinda...

JOSE MOURINHO ASAKA TIMU YA KUFUNDISHA ADAI ANA HASIRA NA KAZI

0

JOSE Mourinho kwa sasa anafikiria kurejea kwenye benchi la ufundi akiwa ni meneja endapo atapata timu sahihi.Mourinho mwenye miaka 56 amekuwa bila timu kwa muda mrefu baada ya kupigwa chini ndani ya kikosi cha Manchester United, Desemba mwaka jana.Amekuwa akihusishwa kujiunga na timu ya Benfica msimu ujao, Lyon na Newcastle United wametajwa kumhitaji bosi huyo ambaye ameinoa pia Chelsea...

TAMBWE AMEMTUMIA UJUMBE HUU ZAHERA KUHUSIANA NA YONDANI

0

Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin Yondani.Yondani alipewa kitambaa cha unahodha kwenye mechi za maandalizi za msimu uliopita baada ya beki Nadir Haroub ‘Cannavaro’ kustaafu lakini baadaye Yondani alivuliwa kwa madai ya utovu wa nidhamu.Tambwe amesema; “Tusubiri tuone kama Zahera atakubali ushauri kuhusu hili la kumrudishia...

KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI 23

0

Hatimaye kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali  umefunga ushahidi rasmi na  mahakama inatarajiwa  kutoa uamuzi  Julai 23, mwaka huu  ili kufahamu kama wanakesi ya kujibu au laa.Malinzi anashatikiwa na wenzake ambao ni Celestine Mwesigwa aliyekuwa katibu wa TFF, Nsiande Mwanga (Mhasibu), Mariamu Zayumba (Meneja Ofisi TFF) na Frola Rauya (karani) na hawa wote walikuwa...

AJIBU AAMUA KUELEZA UKWELI, ATAJA SABABU ZA KUIPIGA CHINI TP MAZEMBE

0

Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi na kumpa dili nono."Niliondoka simba kwa miaka miwili nimerejea nyumbani sikugombana na mtu ndiomaana nimerudi naangalia maisha yangu kuhusu kutokwenda Tp Mazembe."Simba walinipa maslahi mazuri zaidi huo ndio ukweli ninaoujua mimi,nawashukuru wanayangwa kwa kipindi nilichokuwa...

WACHEZAJI YANGA WAPIGWA STOP

0

Kocha Msaidizi wa Yanga, Noel Mwandila amewazuia wachezaji wake kuzungumza chochote na waandishi wa habari.Mwandila amewazuia wachezaji wake na badala yake amewataka waelekeze nguvu zao zote mazoezini kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Yanga inaendelea na mazoezi kujiandaa na tamasha la Wiki ya Mwananchi litakalofanyika Uwanja wa Taifa August 4 2019.Tamasha hilo litafanyika ambapo timu hiyo itacheza mchezo wa...