Home Uncategorized AJIBU AAMUA KUELEZA UKWELI, ATAJA SABABU ZA KUIPIGA CHINI TP MAZEMBE

AJIBU AAMUA KUELEZA UKWELI, ATAJA SABABU ZA KUIPIGA CHINI TP MAZEMBE


Mshambuliaji wa Simba Ibrahim Ajibu ameamua kueleza ukweli juu ya suala la kuikacha TP Mazembe.

Wakati akiwa Yanga Ajibu alikuwa anhitajika Mazembe lakini Simba walimuwahi na kumpa dili nono.

“Niliondoka simba kwa miaka miwili nimerejea nyumbani sikugombana na mtu ndiomaana nimerudi naangalia maisha yangu kuhusu kutokwenda Tp Mazembe.

“Simba walinipa maslahi mazuri zaidi huo ndio ukweli ninaoujua mimi,nawashukuru wanayangwa kwa kipindi nilichokuwa huko”, amesema.

SOMA NA HII  BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI