SIMBA HAWAPOI, WABAINISHA MALENGO YA TIMU MSIMU UJAO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kwa msimu ujao ni kuleta ushindani mkubwa utakaoifanya klabu kuwa ndani ya timu tano kubwa barani Afrika.Simba leo wana semina ya ndani ya wachezaji wa Simba pamoja na benchi la ufundi inayofanyika ilipo kambi yao iliyopo kwenye fukwe za Bahari ya Hindi ambayo inahusu historia ya klabu, kanuni, maadili, desturi, malengo ya...
KESI YA MALINZI NGOMA BADO MBICHI, UAMUZI WA KESI SASA JULAI 23
HATIMAYE kesi inayomkabili aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, Jamal Malinzi na wenzake upande wa Serikali umefunga ushahidi rasmi na mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi Julai 23, mwaka huu ili kufahamu kama wanakesi ya kujibu au laa.Malinzi anashatikiwa na wenzake ambao ni Celestine Mwesigwa aliyekuwa katibu wa TFF, Nsiande Mwanga (Mhasibu), Mariamu Zayumba (Meneja Ofisi TFF) na Frola Rauya...
KAGAME YAWAPA SOMO KUBWA KMC KIMATAIFA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao michuano ya Kagame umewapa fursa ya kujifunza mambo mengi hasa kuelekea kwenye michuano ya kimataifa ambayo itashiriki.KMC ilialikwa kwenye michuano ya Kagame inayoendelea nchini Rwanda imetolewa hatua za awali baada ya kukusanya pointi nne.Kwenye kundi A KMC ilishinda mchezo mmoja dhidi ya Rayon Sport na ilitoka sare ya kufungana bao 1-1 na...
AJIBU AWATETEMESHA KAHATA NA CHAMA SIMBA
KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na Mzambia, Clatous Chama kwenye timu hiyo.Ajibu na Kahata wote walijiunga kwa pamoja kwenye msimu huu wa ligi kama wachezaji huru baada ya kumaliza mikataba na klabu zao walizokuwa wanazichezea.Kutua kwa Ajibu kutaleta ushindani mkubwa kutokana na wote kucheza nafasi...
AJIBU AKUTANA NA PACHA ZAKE SIMBA, BONGE LA SELFIE LAPIGWA
Wachezaji Mohammed Hussein, Said Ndemla na Ibrahim Ajibu wamekutana katika picha ya pamoja leo.Utatu huo umekutana tena baada ya misimu miwili iliyopita Ajibu kuwa Yanga lakini sasa amerejea tena kunako Simba SC.Ajibu amerejea baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na sasa atahudumu Simba mpaka mwaka 2021.Watatu hao wamepiga SELFIE hiyo ya pamoja kabla ya semina maalum juu ya...
KAMA UNADHANI MO ANAONDOKA SIMBA HILI NDIYO TAMKO LAKE
Ujumbe aliouandika Mwekezaji wa Simba Mohammed Dewji 'Mo' ikiwa ni baada ya sekeseke lililojitokeza hivi karibuni juu ya yeye kuelezwa kuwa ataachana na Simba.“Hate no one no matter how much they have wronged you. Live humbly no matter how wealthy you have become, think positively no matter how hard life is. Give much even if you have been given...
VITA YA NAMBA YANGA USIPIME
KUMEKUCHA Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya nahodha msaidizi wa timu hiyo, Juma Abdul kudai kuwa vita ya namba msimu ujao itakuwa ni balaa kutokana na usajili wa nguvu uliofanywa na uongozi wa timu hiyo hivi karibuni.Hayo ameyasema baada ya kuvutiwa na uwezo wa wachezaji wote wapya waliosajiliwa na timu hiyo hivi karibuni ambao wameonyesha uwezo mkubwa katika...
LIONEL MESSI ANABALAA KWENYE SUALA LA POCHI NENE, CR 7 HAONI NDANI
LIONEL Messi staa wa timu ya Taifa ya Argentina anayekipiga kwenye klabu ya Barcelona ni miongoni mwa nyota wanaoingiza mkwanja mrefu kutokana na kipaji chake.Anakuja kiasi cha pauni milioni 7.5 kwa mwezi sawa na sh.bilioni 21.5 za kibongobongo.Ndiye staa anayeongoza kwa kukunja mkwanja mrefu duniani kwa wanasoka wote ngoma inakwenda mpaka mwaka 2021 ni kwa mujibu wa jarida la...
ORIGI MCHAWI WA MABAO YA USIKU NDANI YA LIVERPOOL FURAHA KAMA YOTE
DIVOCK Origi ambaye tangu ajiunge na Liverpool inayotumia uwanja wa Anfield tangu mwaka 2014 akitokea kikosi cha Lille amekuwa ni mtu mwenye furaha muda wote na amesema kuwa hafikirii kuondoka ndani ya kikosi hicho.Origi ambaye ameongeza mkataba ndani ya kikosi hicho hivi karibuni na mabosi hao wakagoma kueleza muda wa mkataba wake zaidi ya kueleza kwamba ni mkataba mrefu amesema...
ZINEDINE ZIDANE AIKACHA KAMBI KUTOKANA MATIZO YA KIFAMILIA
ZINEDINE Zidane meneja wa Real Madrid ameondoka katika kambi ya timu hiyo kwa dharula na kurejea nchini Canada kutokana na kupata matatizo ya kifamilia.Meneja msaidizi David Betton kwa sasa ana jukumu la kusimamia mazoezi ya timu hiyo katika kipindi ambacho Zidane hatakuwepo.Uongozi wa Madrid umesema kuwa kwa kipindi ambacho hatakuwepo timu itakuwa chini ya Betton."Kwa kipindi ambacho hatakuwepo timu...