AZAM FC: KESHO HAO MANYEMA WANAKAA
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa kesho watapambana kuwakalisha wapinzani wao Manyema FC kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Kagame.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa wametambua ubora na uimara wa wapinzani wao hivyo watawamaliza mapema."Wapinzani wetu wapo imara, tumewaona kwenye mchezo wao dhidi ya APR, sasa tumejipanga kupata matokeo chanya hasa ukizingatia ni hatua...
VYAMA VYA MIKOA, TFF TUWEKEENI MAZINGIRA RAFIKI KWA MCHEZO WA SOKA
Na Dominick SalambaMiaka ile ya 1990, enzi za ujana wetu kipindi cha ujana wetu wakati muziki kutoka Kongo ukitamalaki katika nchi yetu zama zile muziki huu ulikuwa unaitwa disco toto ambapo zilikuwa zikifika siku za sikukuu tulikuwa tuna ulamba nguo mpya,viatu vipya huku wengine wanatinga miwani na wengine kapelo halafu wote tunaelekea kwenye kumbi za disco ambazo zilikuwa chache...
MBIO ZA BAISKELI NDANI YA MAJIMAJI SELEBUKA NI MOTOOOO
Na Mwandishi Wetu, SongeaHuku mbio za baiskeli kwa afya katika Tamasha la Majimaji Selebuka linaloendelea mjini hapa zikitarajiwa kurindima kesho Jumamosi, joto limeanza kupanda baada ya washiriki mbalimbali kuanza kuwasili wakiwamo wale nyota waliotikisa kwenye mbio za mwaka jana.Mbio za Baiskeli katika Tamasha la Majimaji Selebuka zitakuwa za Kilomita 100 zikianzia Viwanja vya Makumbusho ya Mashujaa wa Vita vya...
AJIBU AKIONA CHA MOTO SAUZI
AKIWA Rustenburg, Afrika Kusini kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Francis Kahata wamekiona cha moto ni baada ya Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems kutumia saa mbili sawa na dakika 120 kuwakimbiza nyota hao.Hiyo, ikiwa ni saa chache tangu timu hiyo itue Sauzi na kuweka kambi kwenye moja ya hoteli nyota tano ya Royal Marang Hotel ya nchini huko...
YANGA YATANGAZA MECHI NNE ZA MAAJABU
YANGA imetangaza kwamba mwezi Agosti na Septemba watakuwa na mechi nne za kuonyesha ubora wao Afrika lakini hapa kambini pamenoga. Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu itaanza Agosti 9, ingawa ratiba itatoka baada ya kumalizika kwa fainali za Afcon kesho Ijumaa.Ndani ya miezi hiyo miwili, Yanga licha ya kwamba itakuwa ikicheza ligi ya ndani lakini italazimika kucheza mechi nne...
LIGT AUNGANA NA CR7 JUVENTUS, ASAINI MIAKA MITANO
Klabu ya Juventus imekamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs de Ligt.Beki huyo kutoka Ajax amekamilisha usajili huo kwa dau la euro, €75m.De Ligt mwenye umri wa miaka 19 amesaini mkataba wa miaka mitano Juventus mkataba ambao utaisha June 2024.
MANCHESTER UNITED: HAKUNA OFA YA PAUL POGBA
OLE Gunnar Solskjaer, meneja wa Manchester United amesema kuwa bado atabaki na nyota wa kikosi hicho Paul Pogba na anaweza kumfanya akawa bora zaidi kwa kuwa hakuna ofa inayomtaka.United wana kazi ya kumzuia Pogba ambaye anawindwa na Juventus pamoja na Real Madrid huku wakiwa wametaja dau kubwa la kumuza mchezaji huyo la pauni milioni 170.Pogba na wakala wake Mino...
HUYU NDIYE ALIYE NYUMA YA USAJILI WA NYOTA WA SIMBA FRANCIS KAHATA
FRANCIS Kahata kiungo mpya wa Simba amesema kuwa miongoni mwa wachezaji ambao wamechangia kumshawishi ajiunge ndani ya kikosi hicho ni mshambuliaji Meddie Kagere.Kahata amejifunga kwa kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba akitokea timu ya Gor Mahia ambayo Kagere naye aliwahi kuitumikia."Nilikuwa nina ofa nyingi mbali na Simba kutokana na ukubwa wa klabu na ukaribu wangu na Kagere sikuona...
REAL MADRID KUUZA NYOTA WATANO KUMPATA NYOTA WA MANCHESTER UNITED
REAL Madrid ipo kwenye mpango wa kuwauza nyota wake watano ili kupata pauni milioni 200 kwa ajili ya kumnunua kiungo wa Manchesster United, Paul Pogba.Nyota huyo raia wa Ufaransa anahusishwa kujiunga na Real Madrid ambao wapo kwenye hekaheka za kuipata saini yake.Inaelezwa kuwa Madrid inatazamia kuwauza Gareth Bale, James Rodriguez, Dani Ceballos, Marco Asensio na Isco ili kukusanya mkwanja...