Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc

0

Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse aliepitia Simba kati ya mwaka 2014 na 2016 akiwa katika kikosi cha kina Mbaraka Yusuph, Idd Kipagwile, Issa Ngoa na Denis Richard.Baada ya kumwaga wino John Mbise alisema “Ni furaha kuendelea kubaki Namungo tena, ni...

KOTEI MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA KWENDA YANGA

0

Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana na kutopata mawasiliano na kiongozi yeyote wa Simba juu ya kuhitajika kwa msimu ujao.“Kwa sasa mimi nipo mapumziko tu huku nyumbani, ninacheza na watoto na familia yangu kiujumla sifahamu lolote juu ya usajili wangu.“Hadi sasa...

MANARA AIBUKA NA KALI NYINGINE JUU YA TAIFA STARS – VIDEO

0

Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27,  2019.

JUUKO AVURUGA HALI YA HEWA KWA VIONGOZI SIMBA

0

Jumamosi iliyopita inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa akiitumikia timu yake ya taifa ya Uganda dhidi ya DR Congo katika michuano ya AFCON inayoendelea nchini Misri.Uwezo wa juu aliounyesha Juuko katika mchezo huo na kuiwezesha Uganda kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ndiyo hasa uliyowavuruga viongozi hao...

HII KALI!! KINDOKI ATAKA MILIONI 45 YANGA, SABABU ATAJA

0

Kumekuwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa klabu ya Yanga huenda ikaachana na kipa wako Mkongomani Klaus Kindoki.Taarifa hizi zimesababisha mwenyewe kuibuka na kudai kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania ili aweze kuondoka.Imeelezwa kuwa Kindoki anataka fedha hizo ili avunje mkataba na kama asipopewa hawezi kuondoka kwa namna yoyote ile.Licha ya tetesi za kuachwa na Yanga, awali ilielezwa kuwa...

AZAM YAITANGAZIA VITA SIMBA, WACHEZAJI WATAJWA

0

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’, amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara wataivua ubingwa Simba.Azam FC ambayo msimu uliopita ilishika nafasi ya tatu huku ikitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kwa kuifunga Lipuli FC, imepania kufanya kweli msimu ujao kwa kulitwaa taji la Ligi Kuu Bara linaloshikiliwa na Simba kwa msimu wa pili mfululizo...

MABOSI YANGA WATOA TAMKO LINGINE ZITO KWA AJIBU, SIMBA YATAJWA

0

Licha ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku saba kwa ajili ya kuamua hatma yake kabla ya kufungwa usajili wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).Hivi karibuni Yanga waliweka hadharani kwamba licha ya kufanya jitihada za kuzungumza na kiungo huyo lakini mazungumzo yao kushindwa kufikia muafaka.Ajibu amemaliza mkataba wake...