Alichokisema Amunike leo.

0

Tumekutafsria hapa kwa mujibu wa video hiyo hapo juu.Tunacheza dhidi ya Kenya, ni nafasi yetu nzuri. Timu zote mbili zinatokea Afrika Mashariki, na Kenya ni jirani yetu, tupende au tusipende wote tunaongea lugha moja, Kiswahili. Hivyo hakuna kitu cha kuficha kati yetu uwanjani.Lakini muhimu ni kuona jinsi tunavyoweza kuwaweka pamoja wachezaji wachezaji wetu.Tuliona katika mechi dhidi ya...

YANGA YATOA TAMKO JUU YA MBRAZIL WA SIMBA

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa auhofii usajili unaoendelea kufanywa na watani wao wa jadi, Simba ukiwemo wa straika Mbrazili, Wilker Henrique da Silva.Wiki iliyopita Simba ilimtangaza mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye alisaini mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.Yanga upande wake imefanikisha usajili wa wachezaji kumi kati ya hao sita ni wa kimataifa na...

JPM: MAKONDA UMESEMA UKIENDA MISRI TUTASHINDA? HAYA NENDA – VIDEO

0

RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri kwa ajili ya kuipa hamasa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stas) ili iibuke na ushindi dhidi ya Kenya baada ya kuanza vibaya kwa kufungwa mabao 2-0 na Senegal juzi Jumamosi.Magufuli ametoa ruhusa hiyo leo Jumanne, Juni 25, 2019, wakati akizindua Ghala na Mitambo...

RASMI JINA LA KOTEI LATUA YANGA

0

SIMBA na Yanga zote zipo kwenye mikakati mipya ya kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao, kila upande unaonekana kuwa na maandalizi makubwa kwa kuwa wote watashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.Wakati maandalizi hayo yakiendelea, habari za ndani ya klabu zinadai kuwa kiungo mkabaji wa Simba Mghana, James Kotei hana nafasi ya kuendelea kuichezea timu hiyo, hali ambayo imesababisha jina...

ZAHERA ABADILI GIA YA USAJILI YANGA AKIWA MISRI

0

VIONGOZI wa Klabu ya Yanga chini ya mwenyekiti wake, Dk Mshindo Msolla, wikiendi hii waliitumia kwa ajili ya kuzungumza na wachezaji waliopo ndani ya kikosi hicho ambao mikataba yao inamalizika.Yanga hadi sasa tayari wameshatambulisha nyota 10 wapya ambao wamewasajili ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao ambao ni pendekezo la kocha wao mkuu, Mwinyi Zahera.Kwa sasa Yanga wanazungumza na...

AZAM YAIFANYIA UMAFIA WA AINA YAKE YANGA KWA METACHA

0

Azam FC imesisitiza kwamba, kipa anayetajwa kumalizana na Yanga, Metacha Mnata, ataitumikia Azam FC msimu ujao na wala haendi sehemu nyingine.Kauli ya Azam FC imekuja huku kukiwa na taarifa za Yanga kumalizana na kipa huyo ambaye yupo Misri na timu yataifa ya Tanzania, Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon.Metacha ambaye alikuwa kwa mkopo Mbao FC akitokea Azam FC, hivi...

SIMBA YAINGIA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KIFAA KINGINE KIPYA KUTOKA BRAZIL, KIMECHEZA NA NEYMAR

0

Mchezaji mwingine kutoka Brazil mwenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira (26) amesaini mkataba wa miaka miwili na Simba SC.Vieira ambaye amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya wachezaji chini ya miaka 17 ya Brazil iliyokuwa na wachezaji maarufu kama Neymar, Philippe Coutinho, Casemiro na golikipa Alisson.Feaga pia alicheza...

Juuko siyo aina ya mchezaji wa Simba!

0

Kuna mengi yanazungumziwa sana kwa sasa baada ya michuano ya Afcon kuanza. Tanzania tunalalamika, Kenya walalamika lakini Uganda wanafurahia.Wako katika mazingira mazuri kwenye michuano hii ndiyo maana wanafurahia. Wameanza vizuri michuano hii, wamempiga Congo magoli 2-0.Katika ushindi huo kuna wachezaji wawili wa Simba ambao walionesha kiwango kikubwa. Emmanuel Okwi ambaye alikuwa nyota wa mchezo huo na Juuko...

KUMEKUCHA, SIKU SITA TU ZIMEBAKI AJIBU KUMFUATA TSHABALALA SIMBA

0

LICHA ya Yanga kukata tamaa juu ya kumbakiza kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu, mabosi wa timu hiyo wamempa siku sita kwa ajili ya kuamua hatma yake kabla ya kufungwa usajili wa Shirikisho la Soka la Afrika (Caf).Hivi karibuni Yanga waliweka hadharani kwamba licha ya kufanya jitihada za kuzungumza na kiungo huyo lakini mazungumzo yao kushindwa kufikia muafaka.Ajibu amemaliza mkataba wake...