TIMU YA MASAU BWIRE YAPAPASWA NA TFF, ALAMA NA BAO TATU ZAPELEKWA PRISONS

0

Mechi namba 205- Ruvu Shooting vs Tanzania Prisons FC. Tanzania Prisons FC imepewa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike...

ALIYEMPIGA TEKE MWAMUZI YAMKUTA, TFF YALA NAYE SAHANI MOJA

0
Habari za michezo

Mechi namba 80 Gipco FC 1 vs Gwambina FC 2- Meneja wa timu ya Gipco Ayubu Msonge amepelekwa Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la...

MEDDIE KAGERE AKWAMA DAKIKA 360 BILA KUTUPIA

0

MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amecheza mechi nne sawa na dakika 360 bila kufunga bao  kwenye Ligi Kuu Bara inayoendelea kwa sasa.Kagere ambaye amehusika...

MZUNGU WA YANGA:HUYO MOLINGA MTAMUELEWA TU

0

Luc Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa uwepo wa Molinga ndani ya Yanga ni moja ya silaha kwake itakayompa ushindi kwenye mechi zake...

NAMUNGO FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA MWADUI FC

0

HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kikosi chake kipo sawa na kinaendelea na maadalizi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu...

LIPULI:NJOONI SAMORA MPATE BURUDANI

0

UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa mashabiki wajitokeze kwa wingi kesho, Februari 15, Uwanja wa Samora kuona watakachomfanya mnyama Simba bila  mashaka.Lipuli inakumbukumbu ya kupoteza...

HIZI HAPA NNE ZA LIGI KUU BARA MAMBO BADO MAGUMU

0

MWADUI FC, Mbeya City, Mbao FC na Singida United zinateswa na upepo mbaya wa kupambania nafasi zao za kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara...

YANGA YAWAITA MASHABIKI KESHO TAIFA

0

JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa timu ya Yanga amesema kuwa ushindani wa Ligi Kuu Bara ni mkubwa nao wanapambana kufikia malengo waliyojiwekea.Abdul ni kinara...

SI SAWA, NI HATARI SANA WACHEZAJI KUCHANGANYIKA NA MASHABIKI KAMA ILIVYOKUWA JAMHURI

0

Na Saleh AllyMATATIZO mengi huanza kutokea kwanza na baada ya hapo watu huanza kutafuta utatuzi wake, wakati ilikuwa inawezekana kupatikana kwa utatuzi hata kabla...

SIMBA YAANZA KUIWINDA LIPULI, MZUNGU AZITAKA POINTI TATU

0

KIKOSI cha Simba kipo mkoani Iringa kwa sasa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa kesho, Februari 15 Uwanja wa Samora.Jana kilianza...