Adi,Banda na kichuya miongoni wa walioachwa

0

Kikosi cha timu ya Taifa kimeweka kambi yake ndhini Misri, katika wachezaji 32 waliosafiri na timu iltakiwa wabaki wachezaji 23 tu kwaajili ya mipango ya AFCON.Kandanda imepata orodha ya wachezaji wanaobaki hawa hapa:Magolikipa1-Aishi Manula (Simba SC)2-Metacha Mnata (Mbao)3-Aron Kalambo (Tz Prisons)4-Seleman Salula (Malindi)5-Claryo Boniface (U20)Mabeki6-Hassan Kessy (Nkana, Zambia)7-Vicent Philipo (Mbao)8-Gadiel Michael (Yanga)9-Mohamed Hussein (Simba)10-Ally Sonso (Lipuli)11-Erasto Nyoni...

KUBWA KULIKO KUTIKISA JUMAMOSI DAR, RATIBA KAMILI HII HAPA – VIDEO

0

Ratiba kamili ya Yanga Kubwa Kuliko Jumamosi hii, hii hapa

WIMBO MPYA WA YANGA HUU HAPA – VIDEO

0

Usikilize wimbo mpya wa Yanga hapa

ALIYETAJWA KUSAJILIWA YANGA DILI LAYEYUKA, AMALIZANA NA WASOUTH

0

Mshambuliaji wa klabu ya Zesco United ya Zambia, Lazarous Kambole amekubaliana maslahi binafsi na klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika kusini ambayo atajiunga nayo kwa ajili ya msimu ujao, imeelezwa.Taarifa imesema Kaizer Chiefs italazimika kulipa dau la dola 200,000 ambazo ni zaidi ya milioni 459 za kitanzania kwa klabu ya Zesco kama ada ya usajili kwa mshambuliaji huyo. Ikumbweke Kambole...

AJIBU APIGWA CHINI YANGA, ZAHERA AMEAMUA

0

Imeelezwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amewashangaa viongozi ya klabu hiyo kwa kuanza majadiliano ya kumpa mkataba mpya nahodha wa timu hiyo Ibrahim Ajibu.Taarifa imeeleza kuwa Zahera amesema tangu Ajibu akatae kujiunga na TP Mazembe yeye alishamuondoa kwenye mipango yake ya msimu ujao.Zahera ambaye kwa sasa yuko Hispania katika majukumu ya timu ya Taifa ya DR Congo...

Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20

0

Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata kupitia klabu husika tu.#MchezajiTimuNafasi1Aishi Manula-Golikipa2Bigirimana BlaiseNamungo FCKiungo3John R. Bocco-Mshambuliaji4Mwadini Ali-GolikipaWote*Angalizo: Tutajaza tena majina rasmi baada ya bodi ya ligi kutoa majina ya mwisho, endelea kupitia hapaThe post Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20...

KUBWA KULIKO NI YA KIBABE, MOJA KWA MOJA LITARUSHWA NA AZAM TV

0

 Kubwa Kuliko itazinduliwa rasmi Jumamosi,Ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam na wanachama pamoja na viongozi wa Yanga lengo likiwa moja kuichangia timu.Mchakato huo kwa mara ya kwanza ulizinduliwa na Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera makao makuu ya nchi, Dodoma.Katibu wa Kamati ya Hamasa ya Yanga, Deo Muta amesema kuwa maandalizi ya tamasha hilo yamekamilika litaanza saa nne...

STARS YAPATA MAKOCHA WAWILI WAPYA, WAANZA KAZI MOJAKWAMOJA

0

MWENDO Mdundo sasa kwa timu ya Taifa ya Tanzania ambayo imeweka kambi nchini Misri kwa ajili ya kujiaanda na michuano ya Afcon inayotarajiwa kuanza Juni 21.Benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Emmanuel Ammunike ameongezewa makocha wawili ambao wameongeza nguvu kwenye kambi hiyo na imeelezwa kuwa wamewahi kufanya kazi na Ammunike.Makocha hao wote ni raia wa Misri wanaifanya...

YANNICK CARRASCO KUIBUKIA KWA WASHIKA BUNDUKI

0

YANNICK Carrasco kwa sasa kuna uwezekano mkubwa kuibukia kwenye kikosi cha Arsenal kilicho chini ya Unai Emery kumwaga wino.Winga huyo mwenye miaka 25 amefunga jumla ya mabao 11 kwenye mechi 31 alizocheza baada ya kujiunga na klabu ya Blue Hawks mwaka 2018.Kwa sasa imeelezwa kuwa anawindwa na washika bunduki hao ili aongeze nguvu kwenye kikosi hicho msimu ujao.Carrasco amesema "kwa...

JERO TU UTAONA MECHI KALI YA LEO, MZUMBE VIJANA CUP, TEGETA

0

LIGI ya Mzumbe Vijana Cup inazidi kukata mbunga ambapo leo majira ya saa 10:00 uwanja wa Sekondari Tegeta itaipigwa bonge moja ya mechi.Ligi hiyo  kwa sasa ipo hatua ya 16 bora na kila timu imepania kuibuka na ushindi ili kupenya kwenye ligi hii ambayo wajanja wengi wameikubali.Leo ni mchezo kati ya Nyatunyatu FC dhidi ya Bondeni FC na uchakavu...