BAADA YA BOCCO HAWA HAPA WENGINE NANE WALIOWEKWA KWENYE TAGETI NA MSIMBAZI

0

BAADA ya Simba kuanza kazi na nahodha John Bocco kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili sasa imeelezwa kwamba inawasomea rada wachezaji wengine wapya nane ambao mazungumzo yakijibu wanaitwa mezani.Patrick Aussems, ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ameacha ripoti mezani ambayo imetoa mapendekezo ya kusajili wachezaji wapya nane, kati ya hao watano wawe wa kigeni na watatu wawe wazawa kabla...

SIMBA WALIVYOWAKA KAGERA KUBAKI LIGI KUU BARA – VIDEO

0

Kufuatia Kagera Sugar kusalia kunako Ligi kuu Bara baada ya kuifunga Pamba SC mabao 2-0 kwenye mchezo wa Play Off, mashabiki wa Simba hawajasita kutoa maoni yao.

KUMBE HATA HUYU HAJASAINI BHANA…

0

Taarifa za uhakika zinasema kuwa kwamba mchezaji Ibrahim Ajibu hajasaini YANGA, na kwa siku tatu sasa hapokei simu za viongozi wa timu hiyo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kujiridhisha kimesema mpaka sasa Yanga wameshindwa kufikiana mwafaka na Ajibu ambaye imeonekana dau walilompatia ameshindwa kukubaliana nalo.Chanzo hicho kimesema Yanga na Ajibu wamekuwa hawana maelewano hivi sasa kufutia mchezaji mwenyewe kukataa...

ALIYETAJWA KUTUA YANGA MAMBO YAGEUKA, WASHINDWANA ‘ PESA NDOGO’

0

Imeelezwa kuwa beki aliyemaliza mkataba na klabu ya KMC, Ally Ally amesema kuwa maslahi ndiyo kikwazo kilichomfanya asisaini mkataba na klabu ya Yanga.Taarifa imeeleza kuwa Ally amedai Yanga walimpa dau dogo lililopelekea mpango huo kushindikana na sasa Beki huyo anaangalia uwezekano wa kusaini timu nyingine au kusalia KMC"Yanga walikuja na tulikaa nao mezani shida ni dau."Mimi mpira ndiyo maisha...

TETESI ZA WACHEZAJI KUHAMA KLABU MOJA KWENDA NYINGINE LIGI KUU TANZANIA BARA HIZI HAPA

0

Hizi hapa ni tetesi za wachezaji kuhama kutoka timu moja kwenda nyingine kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania pia.

SIMBA YAZIDI KUJIBU MAPIGO JANGWANI, KAHATA, SHAMTE NI MUDA WOWOTE, YUPO MMOJA YANGA

0

WAKATI Yanga ikiendelea kufanya usajili wake, mabosi wa Simba nao tayari wameanza mambo kimyakimya kukisuka upya kikosi chao.Mpaka sasa Simba, inaelezwa kuwa tayari imefanikiwa kumalizana na mshambuliaji wa Yanga, Ibrahimu Ajibu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia timu hiyo, lakini pia ipo katika hatua za mwisho za kumalizana na kiungo mshambuliaji wa Gor Mahia pamoja na timu...

Simba inakimbiza mwizi kimya kimya

0

Leo klabu ya Simba Sc imetoa picha za John Bocco akisaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Hakuna ubishi mkataba huu ulisainiwa kabla ya Bocco kujiunga na kusafiri na timu kuelekea Misri kwaajili ya Afcon.Kuna uwezakano mkubwa pia wachezaji wengi wameshasajiliwa kimya kimya katika klabu hiyo ikiwa pamoja na walioitwa katika kikosi cha Stars. Usajili huu kwa wachezaji wanaoshiriki...

DJUMA WA SIMBA KUIBUKIA KMC

0
Habari za Michezo

MASOUD Djuma kipenzi cha mashabiki anapewa nafasi ya kutua bongo akiwa kwenye dawati la ufundi wa timu ya Manispaa ya Kinodoni 'KMC' ambayo kwa sasa ni ya kimataifa ikishiriki kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza.Djuma alikuwa kocha msaidizi wa Simba alifungashiwa virago baada ya kutokuwa na maelewano na Kocha Mkuu, Patrick Aussems 'Uchebe'.Habari kutoka ndani ya KMC zimeeleza...

NYOTA WA MWADUI AIYEE AWAAMBIA YANGA WAPELEKE MKWANJA MREFU

0

NYOTA wa Mwadui FC, Salum Aiyee amesema kuwa anatazama timu yenye mkwanja mrefu ili asaini kwani ofa alizonazo mkononi kwa sasa ni nyingi.Akizungumza na Salehe Jembe, Aiyee amesema kuwa amekuwa akizungumza na viongozi wengi wa timu mbalimbali ambao wanahitaji saini yake hivyo kikubwa kwake ni maslahi kwanza."Mimi najua kwamba timu yangu iliyonitambulisha kwa mashabiki ni Mwadui ila kama ofa...