YANGA YAIKOMALIA SAINI YA NYOTA HUYU, IKITIKI BASI WANAKUWA NA VIUNGO WANNE MATATA

0

UNAAMBIWA kama Yanga itakamilisha usajili wa kiungo wa Kagera Sugar, Kassim Khamis basi watakuwa wana viungo wakali wanne ambao wanatoka visiwani Zanzibar.Khamis ni nyota wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa sasa anakipiga Kagera Sugar akiwa na mabao 7 kwenye ligi aliyofunga.Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa viongozi wa Yanga wanahitaji saini ya mchezaji huyo kwa kuwa...

LIPULI FC, KOCHA WAO MATOLA BADO HAKIJAELEWEKA KIANA

0

Uongozi wa Lipuli FC umesema kuwa bado haujakaa mezani kuzungumza na kocha, Seleman Matola juu ya kuongeza mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao.Akizungumza na SALEHJEMBE, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa baada ya ligi kuisha na kumaliza mchezo wa fainai kombe la Shirikisho walimpa mapumziko kocha pamoja na wachezaji."Kwa sasa bado hatujazungumza na kocha wetu Matola...

MANCHESTER UNITED KUMLIPA MKWANJA MREFU DAVID de GEA

0

Kwa mujibu wa The Sun, Manchester United wapo tayari kumpa David de Gea pauni 20m kama mlinda mlango huyo atahamia Paris Saint-Germain katika usajili wa majira ya joto.Fedha hizo ni sehemu ya mauzo ya kipa huyo ambapo mmoja wa mabosi wa mashetani hao wekundu amesema wapo tayari kupokea ofa kuanzia paundi 60m kutoka kwa mabingwa hao wa Ligue 1Mlinda mlango huyo mwenye umri wa...

WACHIMBAJI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI GAIRO – VIDEO

0

Wachimbaji watano leo Jumapili Juni 9, 2019 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu, katika kijiji cha Kirama kata ya Kiogwe wilayani Gairo mkoani Morogoro.Taarifa za awali zinaeleza kuwa wachimbaji hao wamefukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakichimba madini aina ya dhahabu ambayo yameibuka siku za hivi karibuni katika Kijiji cha Iyogwe wilayani Gairo.Akizungumza Mwenyekiti wa...

LIPULI WAMEAMUA KWELI, SASA WANAKUJA NAMNA HII

0

UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kusuka kikosi makini kitakachojiuza chenyewe kwa kuwavutia wawekezaji msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa changamoto ya ukata imewapa taabu sana hivyo kwa sasa wamepata somo litakalowafanya wajipange kisawasawa."Ukizungumzia msimu wetu wa 2018/19 hatukuwa njema hasa kwa upande wa fedha, sasa tumejipanga...

AZAM FC, SIMBA NA YANGA WAGOMBANISHWA NA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAGERA SUGAR

0

Kassim Khamis, mshambuliaji wa Kagera Sugar saini yake inawindwa na uongozi wa Yanga, Azam FC na Simba kutokana na uwezo wake mkubwa akiwa ndani ya uwanja hasa kwa kufanikiwa kumiliki mpira na kuzuia asipokonywe mguuni.Kassim alimvutia kocha mkuu wa Timu ya Tanzania, 'Taifa Stars' Emanuel Amunike kabla ya kumtema dakika za usiku wakati kikosi kinakwea pipa kwenda Misri.Akizungumza na...

MOSES KITANDU WA SIMBA, SASA BADO KIDOGO KUTIMKIA KENYA

0

STRAIKA wa Simba, Moses Kitandu anayekipiga Coastal Union kwa mkopo yupo mguu nje ndani kutimkia kucheza soka la kulipwa katika timu ya KCB.Kitandu ambaye KCB walivutiwa na uwezo wake msimu wa mwaka 2017/18 Simba ilipocheza michuano ya SportPesa Cup kwa sasa imeelezwa uongozi wa KCB umerejea tena kuzungumza naye.Akizungumza na SpotiXtra, Kitandu alisema kuwa kuna mipango mingi ambayo anaifikiria kwa...

Ni nafasi kwa KMC kuomba kushiriki CECAFA

0

Simba na Yanga wamejitoa katika mashindano ya Kagame Cup kwa sababu mbalimbali na kuifanya Tanzania iwe na mwakilishi mmoja tu ambaye ni Azam FC.Azam FC itatuwakilisha katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu ujao. Kama ilivyo kwa Azam FC, KMC FC nayo itatuwakilisba katika michuano hiyo ya shirikisho barani Afrika.Kwa Azam FC siyo mara ya...

DUH! SHILOLE KWA FIKSI BALAA, ETI HAJAWAHI KUGUSWA

0

MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo mpaka anamuoa hajawahi kumpiga hata kofi.Uchebe ameibuka na maelezo hayo baada ya kuwepo kwa madai ya muda mrefu mitandaoni kuwa amekuwa na kawaida ya kumwangushia kipondo mkewe huyo.Akizungumza na MIKITO Uchebe alisema watu wengi wanamuona kama baunsa...