YANGA WAIPIGIA HESABU CECAFA

0

Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutoka CECAFA.Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omar Kaya amesema bado wanatafakari na kufanya tathmini kuona ni faida gani watazipata kabla ya kutoa jibu la mwisho. .Mabingwa watetezi wa michuano hiyo...

NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA

0

TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21.Wachezaji saba wameachwa na kocha wa kikosi hicho Emmanuel Ammunike na ataondka na nyota 32 kuiwakilisha nchi huku akieleza kuwa anawaacha nyota hao kutokana na uwezo wao wa kufanya mazoezi, nidhamu mbali...

KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC

0

IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho hivyo anahesabiwa masaa tu kutambulishwa.Ndayiragije ambaye alijiunga na KMC msimu wa mwaka 2018/19 kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea Mbao imeelezwa amegomea kuongeza mkataba mpya ndani ya KMC.Akiwa na KMC, ameweza kuonyesha ushindani na kufanya kikosi chake...

RASMI SIMBA YAJIONDOA MICHUANO YA KAGAME

0

Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu nchini Rwanda. Akizungumza na Saleh Jembe Mtendaji Mkuu wa Simba Crescentius Magori amesema ni kweli wameamua kujitoa kwenye michuano hiyo huku kutokana na kubwana na ratiba."Muda wa maandalizi ya msimu ujao ni finyu kwani kuna baadhi ya wachezaji wako kwenye...

BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI

0

BEKI wa Yanga, Paul Godfery 'Boxer' kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana na kutopewa taarifa zozote ndani ya klabu hiyo.Boxer msimu uliopita alionyesha uwezo mkubwa kwenye mechi zake alizocheza ambapo alikuwa mhimili kwa upande wa mabeki wa Yanga licha ya kupandishwa kutoka timu ya vijana.Akizungumza na Championi Ijumaa, Boxer alisema kuwa...

Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?

0

Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili.Taarifa kutoka KMC inasema kulikuwa na mazungumzo ya pande mbili ili kukubaliana kumpa mkataba mwingine, kitu amabacho Etiene aliomba kutokuwa na mkataba mpya ili akapambane na changamoto nyingine.Etiene aliingoza KMC katika msimu wake wa kwanza Ligi Kuu Tanzania bara, na kushika...

KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA

0

BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi umepania kuboresha kikosi kwa ajili ya maandalizi ya michuano hiyo ya kimataifa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa kwa sasa watabadilisha mtindo wa kusajili kutokana na kupata nafasi hiyo hivyo lazima wafanye kitu cha...

KUMEKUCHA NAMUNGO, BAADA YA KUIBOMOA ALLIANCE, SASA KUIBOMOA YANGA

0

BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini ya mlinda mlango wa Yanga, Ramadhan Kabwili ili aongeze nguvu kwenye kikosi chao.Kabwili kwa sasa mkataba wake na Yanga imeelezwa umemalizika na bado hajaitwa mezani kuzungumzia ishu yake hali inayompa nafasi ya kuwa huru kuzungumza na timu yoyote inayomhitaji...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

MUONEKANO WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa