NYOTA WA MANCHESTER UNITED ACHEKELEA UZURI WA BONGO
RUUD Van Nistelrooy mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi ametembelea hifadhi za mali asili ya Tanzania.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ruud amesema kuwa ni sehemu yenye maajabu na utulivu mwingi anajivunia kufanya utalii ndani ya Taifa la Tanzania.Kwa sasa yupo kwenye ziara Bongo ana rekodi nzuri kwenye maisha ya soka kwani...
MABINGWA WA ZANZIBAR NAO KIMATAIFA WAPO HIVI
MABINGWA wa Ligi Visiwani Zanzibar, KMKM nao wana kibarua cha kukwea pipa kimataifa. KMKM wataanzia nyumbani dhidi ya Deportivo do 1 Agosto ya Angola kwenye Ligi ya Mabingwa. Malindi FC wao wataanzia ugenini dhidi ya Mogadishu City ya Somalia kwenye Kombe la Shirikisho.
YANGA KIMATAIFA SAFARI YAO IMEKAA NAMNA HII
SAFARI ya Yanga kimataifa baada ya kushika nafasi ya pili kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu uliopita wataanza na timu ya Township Rollers ya Botswana.Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya Agosti 23, 24 na 25.Mechi za raundi ya pili...
SABABU YA AZAM FC KUKOSA UBINGWA WA KAGAME HII HAPA
BRUCE Kangwa, beki wa timu ya Azam FC amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kutetea kombe la Kagame ni kushindwa kutumia nafasi walizozipata kwa umakini.Azam FC ilifungwa bao 1-0 na KCCA kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa nchini Rwanda na kuvuliwa ubingwa waliokuwa wanautetea.Bruce Kangwa amesema:" Tulicheza kwa juhudi ndio maana tumefika hatua ya fainali, kikubwa kilichotuponza ni kutokuwa makini hicho tu...
SAFARI YA MABINGWA WA TPL SIMBA KIMATAIFA INAKWENDA NAMNA HII
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetoa ratiba ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kwa msimu ujao wa 2019/20.Mabingwa wa Tanzania Bara Simba SC wamepangwa kuanza na UD do Songo ya Msumbiji na wataanzia ugenini. Kwa mujibu wa ratiba, mechi za kwanza za raundi ya kwanza zitapigwa kati ya Agosti 9, 10 na 11 huku mechi za marudiano zikipigwa kati ya...
SABABU YA KCCA KUNYAKUA UBINGWA WA KAGAME MIKONONI MWA AZAM FC YATAJWA
ALLAN Okello, mshambuliaji wa timu ya KCCA ya Uganda amesema kuwa kilichowapa ubingwa wa kombe la Kagame ni kucheza wakiwa timu.KCCA jana walitwaa ubingwa wa Kagame mbele ya mabingwa watetezi Azam FC kwa ushindi wa bao 1-0.Okello amesema: "Tumekuwa mabingwa wapya hili kwetu ni jambo la furaha, kikubwa kilichotupa ubingwa ni ushirikiano kwani tulicheza tukiwa timu mwanzo mwisho," amesma.KCCA...
DU! MUSONYE WA CECAFA NI PASUA KICHWA KWELI KUSUSU SIMBA NA YANGA
NICHOLAUS Musonye, Katibu Mkuu wa CECAFA amesema kuwa Simba na Yanga hata kama wangeshiriki wasingepata kitu.Michuano ya Kagame imemalizika jana ambapo Azam FC ambao walikuwa mabingwa watetezi walivuliwa ubingwa na timu ya KCCA ya Uganda kwa kufungwa bao 1-0."Bado wasingeweza kufanya kitu kwa kuwa mashindano yameandaliwa na Serikali ya Rwanda na kila kitu kimelipwa hivyo hakuna tatizo lolote kwa...
KMC KIMATAIFA USO KWA USO NA NYOTA WA SIMBA
TIMU ya KMC wana kino kwenye michuano ya Kimataifa ambayo wanashiriki msimu huu kwenye kombe la Shirikisho wao wanakwenda Rwanda.Mchezo wa kwanza utakuwa dhidi ya AS kigali ambao unatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 9/11 mwaka huu.AS Kigali watakutana na fundi wa kuchezea mpira aliyekuwa akiitumikia Simba, Haruna Niyonzima.Mchezo wa marudiano utakwa kati ya Agosti 23/25 nchini Tanzania hii ndio...
AZAM FC WAO KIMATAIFA RATIBA YAO IMEKAZA NAMNA HII
KUMEKUCHA kimatafa ambapo mabingwa wa kombe la Shirikisho Azam FC, itaenyana na Fasil Kenema ya Ethiopia kwenye raundi ya awali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Mchezo wa kwanza itakuwa ugenini kwenye mji wa Gondar, Ethiopia kati ya Agosti 9-11, huku ikimaliza kazi katika Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam kati ya Agosti 23-25 mwaka huu.Kama Azam FC...
HUYU NDIYE MBADALA WA LEROY SANE NDANI YA BAYERN MUNICH
Bayern Munich wanaangalia uwezekano wa kumtaka winga wa Kimataifa wa Ivory Coast na Crystal Palace, Wilfred Zaha (26) ili kuwa mbadala wa Leroy Sane na Gareth Bale.Mwanzo winga huyo alikuwa anatakiwa na Arsenal chini ya mwalimu Unai Emry. Arsenal waliamua kuachana na dili la Zaha kutokana na kutajiwa dau la kukomolewa ambalo ni pauni milioni 80