TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE TANZANITE KUSHIRIKI MICHUANO YA COSAFA, VIJANA WAPATA SHAVU

0

TIMU ya Taifa ya Wanawake Tanzania 'Tanzanite' chini ya umri wa miaka 20 imepata mwaliko wa kushiriki michuano ya COSAFA ambayo inazishusisha timu za jumuia ya ukanda wa Afrika ya Kusini.Ofisa Habari wa Shirikisho la Tanzania, Clifford Ndimbo amesema kuwa michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 1 mpaka 11 mwaka huu nchi Afrika Kusini.Timu shiriki kwenye michuano hiyo...

GADIEL MICHAEL AWAANGUKIA VIONGOZI NA MASHABIKI WA YANGA

0

GADIEL Michael, bieki mpya wa Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga amewaomba radhi viongozi wa Yanga na mashabiki wake.Kupitia ukurasa wa Instagram, Michael ameandika namna hii:-"Wakati mwingine mtu unalazimika kufanya maamuzi yako peke yako kwa sababu anaewajibika na maisha yako mwisho wa siku ni mtu mwenyewe. "Mpira ndio kazi yangu ya kimaisha, maamuzi niliyoyafanya yalikuwa ni muhimu...

BOVU LA MANARA KWA WACHAMBUZI KUHUSIANA NA SIMBA KUSAJILI “WAHENGA”

0

‘Hata kagere na kina Okwi wajuzi waliyasema haya haya ‘Na Haji Manara Siku hizi sijishughulishi tena na kujibu jibu makala zenye lengo la kuichafua klabu yetu,nimeacha kwa sababu moja tu,wakosoaji wetu ni wale wale na kwangu hawana jipya sababu tushawazoea na tunawajua tabia zao za kutaka wao waonekane ndio Wajuzi zaidi wa soka kuliko Watanzania wote.Lakini hili la upotoshwaji wa...

TIMU ANAYOKWENDA OKWI ILIWAHI KUNOLEWA NA DIEGO MARADONA

0

Winga Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), imeelezwa.Nyota huyo Mganda anakwenda kucheza katika timu hiyo ya Ligi Kuu UAE iliyowahi kufundishwa na gwiji la soka duniani, Diego Maradona.Maradona kutoka Argentina, aliifundisha Furjairah kwa kipindi cha msimu wa 2017/18 na baada ya hapo hakuendelea.Kwa sasa kikosi hicho kinanolewa na...

BIASHARA UNITED YAFANYA BIASHARA NA AMRI SAID

0

AMRI Said amepewa kandarasi ya mwaka mmoja kuendelea kukinoa kikosi cha timu ya Biashara United ya Mara.Ofisa Habari wa Biashara United, Shomari Binda amesema kuwa unaamini uwezo na mbinu za Said ambaye ameinusuru timu kubaki kwenye ligi msimu ujao wa 2019-20."Tunaamini kwa uzoefu na mbinu alizonazo anaweza kuisaidia timu msimu ujao, kabla ya kumwaga wino tayari alishawasilisha ripoti hivyo...

OKWI ABWAGA MANYANGA SIMBA, ATIMKIA UARABUNI

0

IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu Uarabuni.Okwi ambaye msimu wa 2018-19 akiwa ndani ya Simba alifunga jumla ya mabao 15 na anashikilia rekodi ya kufunga 'hat trick' nyingi kuliko wote akifunga jumla ya mbili ameshindwa kuelewana na mabosi zake Simba.Imeelezwa kuwa miongoni mwa timu ambazo zilikuwa zinahitaji huduma...

MGANGA HUKO BENIN AMTAKA MANE KUTOCHEZA MECHI YA LEO ILI KUEPUKA KIFO

0

Imeelezwa kuwa Mganga wa tiba za asili nchini Benin, Gwedu Sakala amemuonya mshambuliaji wa Liverpool na Senegal, Sadio Mane kutocheza mechi ya leo ya robo fainali ya Mataifa ya Afrika dhidi ya timu ya taifa ya Benin.Mganga huyo amemuonya Mane akidai kuwa endapo akikaidi na akicheza mechi hiyo ataanguka na kufariki uwanjani.Kauli ya Mganga huyo imeleta mshangao kwa wengi...

STRAIKA MPYA KMC AJA NA MKWARA KWA KAGERE

0

Baada ya mshambuliaji mpya wa KMC, Salim Aiyee kutupia bao katika mechi ya kwanza ya michuano ya Kagame, sasa ametamba kufunga pia kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu.Aiyee ameifungia timu yake bao kwenye mechi dhidi ya Atlabara FC ya Sudan ambapo mechi hiyoilimalizika kwa sare ya bao 1-1, Jumapili iliyopita.Aiyee ameliambia Championi Jumatano kuwa, anataka kuweka rekodi ya...

CHID BENZ AMTANGAZIA KICHAPO MADEE

0

WIKI iliyopita tuliishia wakati Madee yupo kwenye tamasha lake jijini Dodoma na kwa bahati mbaya anakutana na tukio la kupopolewa mawe na chupa za mkojo jukwaani. Je, ungependa kujua ilivyoendelea?SONGA NAYO…“BAADA ya kurushiwa mawe na kuvunjwavunjwa vioo kibao vya pale ukumbini huku mimi nikitafuta mlango wa kutokea, ghafla DJ wangu naye akapigwa jiwe akaamua kutoka nduki kusikojulikana na kuniacha...

MSENEGAL SADIO MANE AWA LULU NDANI YA REAL MADRID

0

IMEELEZWA kuwa winga wa Liverpool anayekipiga timu ya Taifa ya Senegal ambayo imetinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Afcon ya Senegal, Sadio Mane anawindwa na Real Madrid. Zinadine Zidane ambaye ni Meneja wa Real Madrid amevutiwa na uwezo wa nyota huyo ambaye ana tuzo ya ufungaji bora msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu England.Imeelezwa kuwa Madrid ipo...