NINJA WA YANGA ATIMKIA KUKIPIGA MAREKANI

0

Abdalah Shaibu ‘Ninja’ amesaini kandarasi ya miaka minne akitokea timu ya Yanga kuitumikia timu ya MKF Vyskov ya Jamhuri ya Czech.Timu hiyo imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja kwenda LA Galaxy inayoshiriki Ligi Kuu ya Marekani maarufu kama Major League.

MAMA KANUMBA: BABA KANUMBA ALIKUWA MCHEPUKO WANGU TU! – VIDEO

0

MAMA wa aliyekuwa staa wa Bongo Movie, marehemu Steven Kanumba, Bi. Flora Mtegoa, amesema hakuwahi kuolewa na baba wa mtoto wake huyo (mzee Charles Kanumba) badala yake alikuwa mchepuko wake tu kwani tayari baba huyo alikuwa na mkewe na watoto.Bi. Flora amesema hayo jana Jumatatu wakati akipiga stori ndani ya kipindi cha Kata Mbuga cha +255 Global Radio na...

OKWI ATAKA 115M KWA MWAKA SIMBA

0

STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo, basi wamuwekee benki kitita cha Sh milioni 115 kwa mkataba wa mwaka mmoja.Okwi aliye nchini Misri kwenye Kombe la Mataifa Afrika (Afcon), amemaliza mkataba na Simba ambapo wanavutana na uongozi wa klabu hiyo juu ya...

SIMBA YAMALIZANA NA KIFAA KUTOKA TP MAZEMBE, KILIWAHI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA

0

Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa wa nchi Simba SC. Kanda amesaini mkataba wa mwaka mmoja kukipiga Msimbazi akitokea TP Mazembe ambapo alikuwa mmoja wa wachezaji ambao waliiwezesha kushinda Ubingwa wa Afrika mwaka 2009, 2010 (aliifungia goli kwenye mchezo wa fainali dhidi...

AMUNIKE AENDELEZA DHARAU, ASISITIZA HANA CHA KULAUMIWA

0

Na Saleh Ally, CairoKOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa.Amunike amesema mara baada ya Stars kupoteza mchezo wake wa mwisho katika michuano Afcon.Taifa Stars ilifungwa mechi zote tatu za michuano hiyo kwa kukubali mabao nane katika mechi tatu huku ikifunga mawili.Baada ya mechi ya mwisho baada ya Stars kulala kwa mabao 3-0...

WAKATI UMEFIKA TUMEACHE AMUNIKE AENDE ZAKE SALAMA, TUSONGE

0

NA SALEH ALLYMIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii timu yetu ipo hapa jijini Cairo nchini Misri na leo itashuka kucheza mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi.Suala la kusonga mbele katika hatua ya mtoano linabaki kuwa majaaliwa. Lakini uhalisia ni hivi, timu inashiriki michuano hiyo.Kwa miaka 39, Tanzania...

HATMA YA ZAHERA NA YANGA JUU YA MKATABA MPYA HII HAPA

0

UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga na Yanga katikati ya msimu wa mwaka juzi akitokea Builcon FC ya Zambia.Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Championi Ijumaa ni kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha mpango huo wa kumuongezea mkataba...

JESHI KAMILI LA YANGA HILI HAPA, SALAAM ZAO WAPINZANI

0

YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31, mwaka huu na hakutakuwa na muda wa kuongezwa huku usajili wa Caf kwa klabu za Simba, Yanga, Azam FC na KMC ukitarajiwa kufungwa Julai 10.Yanga na Simba zinatarajiwa kuiwakilisha nchi kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika...