MWADUI FC: TUMEPATA TAABU SANA MSIMU HUU

0

UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa wachezaji wote walikuwa na wazo moja kichwani walipoingia uwanjani hali iliyowasaidia kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao Geita FC mchezo wa Playoff uliochezwa uwanja wa Mwadui.Akizungumza na Saleh Jembe, Katibu wa Mwadui, Ramadhan Kilao amesema kuwa ulikuwa ni mchezo wa jasho na damu na wachezaji waliambiwa ni lazmia watimize majukumu yao ipasavyo...

KILICHOWABAKIZA NDANI YA TPL WABABE WA SIMBA CHATAJWA

0

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa aliwaambia vijana wake watulie kwani mchezo ulikuwa mkononi mwao na kubaki kwenye ligi ilikuwa ni lazima hali iliyowafanya washinde mbele ya Pamba FC kwa mabao 2-0 mchezo wa Playoff.Akizungumza na Salehe Jembe, Maxime amesema kuwa walijipanga kiasi cha kutosha kupata ushindi hali iliyowarahisishia njia ya kupenya."Tulicheza nao mchezo wa kwanza...

KIPI HASA KINAKUUMIZA KWA AJIBU NA JONAS MKUDE?

0

Na Saleh AllyMIAKA mitatu iliyopita wakati kikosi cha Taifa Stars kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu Charles Boniface Mkwasa alilalamika kuhusiana na wachezaji wavivu wa mazoezi. Kati ya aliowataja alikuwa ni Ibrahim Ajibu na Abdi Banda.Mkwasa alimueleza Banda mbele yetu tuliokuwa mazoezini katika kambi katika Mji wa Kartepe, Uturuki kwamba kama atamuita tena akaumia wakati wa mazoezi ya kupima utimamu...

Yanga nayo yaikimbia As Vita, yajitoa Kagame

0

Juzi Simba Sc ilitoa taarifa ya kujiondoa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika mashariki na Kati (Kagame Cup). Leo hii imetoka barua ya Yanga kujitoa katika mashindano hayo.Yanga imetoa sababu nyingi za wao kujitoa katika mashindano hayo ambayo yanatarijiwa kuanza mwezi wa 7 mwaka huu, sababu ambazo zimeifanya Yanga kujitoa ni zifuatazo.-Wachezaji wengi wa Yanga kumaliza mikataba...

YANGA YAJIONDOA KAGAME

0

Klabu ya yanga imejiondoa rasmi kwenye michuano ya Kagame CUP ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni huko Rwanda.

MFAHAMU VIZURI MAYBIN KALENGO, MTAMBO MPYA WA MABAO YANGA – VIDEO

0

Mfahamu vizuri mchezaji Maybin Kalengo aliyetajwa kumalizana na Yanga hapa.

BWALYA AITAMANI VIBAYA SIMBA – VIDEO

0

Taarifa zilizopo zinasema kuwa mchezaji Walter Bwalya kutoka Nkana Red Devils ya Zambia ameipa nafasi ya kwanza Simba kumalizana endapo watafikia makubaliano ya dau la usajili na mkataba.

MAJEMBE KUMI MAPYA YALIYOTAJWA KUTUA SIMBA HAYA HAPA, NI MAJIBU YA MAPIGO KWA YANGA

0

Kuelekea Msimu Ujao Wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Klabu Ya Simba Imepania Kufanya Usajili Hatari Kushinda Msimu Uliopita. Hawa Ni Wachezaji 10 Wapya Wanaoelezwa Kuhitajika Na Klabu Ya Simba.

KOCHA WA KINDOKI AMPA ONYO AISHI MANULA KISA TAIFA STARS ‘AWE MAKINI’

0

Kipa wa zamani wa Yanga, Juma Pondamali, amemshauri kipa wa Taifa Stars, Aishi Manula kuongeza jitihada langoni.Pondamali amezungumza hayo ikiwa ni siku mbili zimepita tangu kusafiri kwa Stars kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON.Ameeleza kwa kusema "Manula anapaswa awe makini zaidi langoni."Siku za hivi karibuni amekuwa akifungwa mabao ambayo huwezi tarajia, vema akaongeja jitihada."Pia namtakia kheri pamoja...

MASHABIKI YANGA MBEYA WAONESHA JEURI KUBWA YA PESA – VIDEO

0

Wasikilize mashabiki wa Yanga mkoani Mbeya wakielezea nia yao ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia usajili ndani ya klabu hiyo.