JEMBE JIPYA SIMBA LASAINI KWA DAU NONO! UKURASA WA MBELE CHAMPIONI LEO JUMATATU

0

Muonekano wa gazeti la Championi katika ukurasa wa mbele leo Jumatatu

SIMBA YAONGOZA KUINGIZA MPUNGA LIGI KUU, BIASHARA YA TATU, AZAM YA 15

0

Mgao wa Mapato ya mlangoni kwa timu za Ligi Kuu Bara msimu wa 2018/19.

WABRAZIL SIMBA WAFICHWA

0

WAKATI usajili ukizidi kukolea ndani ya klabu ya Simba imebainika kuwa nyota wapya wa klabu hiyo Wabrazili tayari wamepelekwa kwenye hoteli ambayo Simba huweka kambi yao.Wachezaji ni Tairone Santos da Silva, Gerson Fraga Vieira na Henrique Wilker da Silva.Simba huweka kambi yake katika Hoteli ya Seascape iliyopo Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam karibu kabisa na fukwe za Bahari...

WATANO WASAINI RASMI YANGA

0

Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza kambi rasmi ya mazoezi Jumapili ijayo mjini Morogoro.Yanga imeendelea kufanya usajili huo ikiwa ni siku chache tangu wakamilishe usajili wa wachezaji wake wanne, Gadiel Michael, Metacha Mnata, Ally Mtoni Sonso na kipa wa timu ya...

JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA

0

DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji sita waliopigwa pini na JKT Tanzania. Lyanga ameungana na wachezaji wengine watano waliosajiliwa na JKT Tanzania ambao ni pamoja na Jabiri Aziz ambaye amesaini kandarasi ya mwaka mmoja akitokea African Lyon, Hafidhi Mussa ambaye amesaini...

PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA

0

PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.PSG ililipa kiasi hicho cha fedha wakati ilipomyakua akitoka Barcelona mwaka 2017.Imeelezwa kuwa Neymar kwa sasa hana furaha kubaki ndani ya kikosi hicho, hesabu zake ni kurejea Barcelona.

KUTOKA CAIRO, MSOME AMUNIKE HAPA KUHUSIANA NA MECHI YA KESHO DHIDI YA ALGERIA

0

Na Mwandishi Wetu, CairoKocha wa timu ya taifa Taifa Stars  Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika mchezo wa tatu wa mashindano ya Mataifa Afrika dhidi ya Algeria,utakaofanyika Julai 1,katika Uwanja wa Al- Salam nchini Misri.Akizungumza na waandishi wa habari,Amuneke,alisema kuwa licha ya kuwa Algeria ina kikosi kizuri,lakini bado ana matumaini makubwa...

MANULA BOMU KWETU, HUKU WENYE MPIRA WAO WANAMUONA YUKO VIZURI

0

Na Saleh Ally, CairoKUNA kikundi cha wataalamu wa kutafuta wachezaji kwa ajili ya timu mbalimbali za ligi za Ulaya hasa kutokea katika nchi za Kaskazini mwa Ulaya, wako hapa nchini Misri kwa kazi maalum.Nchi za Sweden, Denmark, Norway na nyinginezo zikiwemo maalum kama Ubelgiji, Ufaransa na kadhalika wako hapa kufuatilia baadhi ya wachezaji wakichukua takwimu zao.Huu ni utaratibu wa...