EXCLUSIVE: BARAKA MPENJA ATAJA TIMU ANAYOSHABIKIA – VIDEO

0

Mtangazaji wa kituo  Azam TV, Baraka Mpenja a.k.a Sauti ya Radi ambaye utangazaji wake umekuwa gumzo katika mitandao ya kijamii na watu wengi wakisema...

AZAM KUANZA NA MAKALI LIGI KUU

0

Uongozi wa Azam FC umesema kuwa timu yao ipo tayari kwa ajili ya msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Mtendaji Mkuu wa Azam FC,...

PICHAZ: SIMBA WALIVYOJIFUA GYMKHANA KWA AJILI YA MECHI NA JKT TANZANIA

0

Kikosi cha Simba SC kimeendelea na mazoezi yake leo kunako Uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam yakiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo...

MHALIFU ALIYEWAPIGA WANAHABARI MIKWARA, AIBUKA NA NYINGINE KALI MAHAKAMANI LEO

0

Hamis Luwongo anayetuhumiwa kumuua na kumchoma moto mkewe, Naomi Marijani amezua kioja kingine Mahakamani Kisutu baada ya kuiomba mahakama impatie simu zake mbili, atoe...

DAR ES SALAAM CORRIDOR GROUP KUMUONA MO SALAH LIVE ANFIELD

0

DAR ES SALAAM Corridor Group, mabingwa wapya wa Kombe la Standard Chartered Bank msimu wa mwaka 2019/20 wamepata fursa ya kufanya utalii nchini England...

MO AZUIA TENA PRESS YA HAJI MANARA SIMBA

0

Inaelezwa kuwa Mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji 'Mo' amezuia tena kikao alichotakiwa kukifanya Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara.Hii itakuwa mara ya pili sasa...

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JUMANNE YA AGOSTI 27 2018

0

Huenda Manchester United ikasubiri ukaguzi wa mchezaji wa kiungo cha mbele raia wa Ufaransa Anthony Martial, mwenye umri wa miaka 23, kabla ya kuruhusu...

AJIBU AFUNGUKA NAMNA REKODI ZA YANGA ZINAVYOMTESA

0

Kiungo mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na kikosi hicho akitokea Yanga kwa kandarasi ya miaka miwili, anateswa na rekodi yake aliyoiweka msimu...

AGGREY MORRIS AMPA KIBURI HIKI KOCHA AZAM

0

Kocha Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameingia kiburi cha kufanya vizuri kwenye michezo yao ya Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika...

KMC YAPANIA KUSEPA NA POINTI TATU ZA AZAM FC LEO UHURU

0

NAHODHA wa timu ya KMC, Juma Kaseja amesema kuwa leo wanaanza kazi vema kwenye mchezo wao wa kwanza wa Ligi Kuu Bara ambayo inadhaminiwa...