ZAHERA AWAKATAA ZESCO UNITED

0

Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amekataa kuwazungumzia Zesco United hivi sasa na badala yake akili yake inafikira mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi...

HAJI MANARA AIBUKA NA JIPYA SIMBA, AMTAJA BALINYA YANGA, UNAWEZA UKACHEKA – VIDEO

0

Ofisa Habari wa klabu ya Simba, amewataka mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, kuitangaza vyema kampuni ya ubashiri ya SportPesa kwani ndiyo kampuni...

JULIO: WABRAZIL SIMBA WAMEKUJA KUTALII

0
Habari za Michezo

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Simba, Jamhuri Kihwelo 'Julio' amesema kuwa kikosi cha timu hiyo juzi kiliingia kucheza na UD Songo wakiwa na matokeo ya...

ZAHERA ATOBOA SIRI YANGA

0

Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ametaja siri tatu za kuwaondoa wapinzani wao, Township Rollers ya nchini Botswana kwa kuwafunga bao 1-0, juzi...

KOCHA SIMBA AJA KIVINGINE KABISA, ATAJA MALENGO TOFAUTI

0

Na George MgangaBaada ya kuondolewa jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amekuja kivingine.Aussems ameamua kuja na...

REKODI YA DAVID SILVA NDANI YA MANCHESTER CITY TAMU SANA

0

DAVID Silva, nyota wa Manchester City amecheza jumla ya mechi 400 tangu ajiunge na kikosi hicho msimu wa mwaka 2010. Anakuwa mchezaji wa 14 kufikia...

MWIGULU: NILIJUA YANGA WATAIFUNGA ROLLERS

0

Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amefunguka kuwa wala hakuwa na presha wakati Yanga ilipokuwa ikikipiga dhidi ya Township Rollers kwa kuwa alijua mapema...

BALINYA AMWAGIWA NOTI ZA MAANA YANGA, MIFEDHA MINGINE KUTOLEWA

0

Straika wa Yanga, Juma Balinya, juzi alimwagiwa noti za maana na mashabiki wa timu hiyo wanaoishi Bostwana.Fedha hizo zilitokana na kufunga bao muhimu ambalo...

MWINYI ZAHERA AVURUGWA YANGA

0

Baada ya kufanya vema katika mechi iliyopita ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers, inaelezwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanza kupatwa...