UCHAWI WENU ULIWAKIMBIZA VODACOM, MKAWALILIA, WAMERUDI SASA TAFUTENI TIBA

0

Na Saleh AllyMSIMU mmoja bila ya kuwa na wadhamini wakuu imeonekana kuwakwaza kwa kiasi kikubwa wachezaji, viongozi wa soka na mashabiki wao.Lawama zimekuwa nyingi...

KUMBUKENI KILA MLICHOFANYA HAKITAZUIA NYIE KUPOTEZA MICHEZO

0

NA SALEH ALLYUKITAKA ujifunze mambo mengi, wakati mwingine ni vizuri sana kujiuliza maswali ya kutosha na kutafuta majibu sahihi ya kutosha kuhusiana na kile...

HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA SPRITE B BALL KINGS

0

MASHINDANO ya Sprite B Ball Kings inazidi kupamba moto ambapo kwa sasa tayari timu 16 bora zimepatikana baada ya mchujo uliofanyika jana kwenye viwanja...

UZITO WA UNYOYA NASSIBU AWA MBABE HUKU LILE LA UZITO WA BANTAM, TONNY AIBUKA KIDEDEA

0

Mapambano ya Ubingwa wa Afrika Mashariki na kati, yamefanyika kwa kishindo usiku wa kuamkia leo Agosti 24, 2019 Club 361 Mwenge jijini Dar es...

UD SONGO WALIISHINDA SIMBA KWA KUTUMIA SILAHA ZA SIMBA, WAKATI WA KUNYANYUKA NA KUSONGA MBELE NI SASA

0

SIMBA Jana imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye uwanja wao wa nyumbani ambao msimu uliopita walifanya maajabu makubwa yaliyoushangaza ulimwengu.UD...

NGUVU YA KIKOSI CHA KMC ZINAHAMIA HUKU KWA SASA, LEO KUANZA MITIZI YA MAANA

0

UONGOZI wa KMC leo unaanza rasmi mazoezi ya kuiwinda Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Agosti 27 uwanja wa Uhuru.Akizungumza na...

YANGA: BADO TUPO SANA KIMATAIFA, ZESCO WETU KABISA

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa unajipanga kwa ajili ya mchezo wao wa hatua ya mtoano dhidi ya Zesco utakaopigwa mwezi ujao kati...

MOHAMED SALAH NI WA MOTO EPL, ARSENAL HAWANA BAHATI NAYE KABISA

0

MOHAMED Salah, mshambuliaji wa Liverpool anazidi kuwa mtamu ndani ya kikosi hicho huku akiendelee kuifukuzia rekodi ya kutetea kiatu chake cha ufungaji bora msimu...