NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA

0

MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.Aiyee akiwa Mwadui FC alitupia jumla ya mabao 18 kwenye ligi kuu msimu wa 2018/19."Nimetua KMC kufanya kazi maalumu ambayo naipenda, msimu ujao nitafunga mengi zaidi ya niliyofunga Mwadui FC, sapoti na ushirikiano ni jambo la msingi," amesema.

NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH

0

NYOTA wa timu ya Taifa ya Uganda na timu ya Simba, Juuko Murshid amesema kuwa yupo fiti kumenyana na Misri bila kuhofia uwepo wa nyota Mohamed Salah anayekipiga Liverpool.Uganda itamenyana leo na Misri uwanja wa Cairo International ikiwa ni mechi ya mwisho kwenye kundi A ambalo Misri anaongoza akiwa na pointi sita huku Uganda wakiwa na pointi nne nafasi...

NINJA APATA DILI ULAYA, ASAINI

0

WAKATI uongozi wa Klabu ya Yanga ukiendelea kumpigia simu beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ inaelezwa tayari mlinzi huyo ameshasaini mkataba wa miaka mitatu na mmoja kati ya timu zinashiriki Ligi Kuu ya Jamhuri ya Czech barani Ulaya.Ninja amejiunga na klabu ya nchi hiyo kwa mkataba wa miaka mitatu ambayo imepanga kumtoa kwa mkopo kwenda kucheza katika Ligi...

HUU SASA NI MSALA ZAIDI, NYOTA WAWILI TEGEMEO KUIKOSA ALGERIA JUMATATU – VIDEO

0

Viungo nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mudathir Yahya na Erasto Nyoni hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mechi ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) mbele ya Algeria itakayopigwa julai Mosi majira ya saa 4 usiku.Nyota hao watakosa mechi hiyo ya Stars ya mwisho katika Afcon mbele ya Algeria inayoongozwa na kiungo wa Manchester...

AKIWA BADO YUKO MISRI, ZAHERA ATOA MAAGIZO YANGA

0

Uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kuwahi kuanza maandalizi ya kikosi chao kuwa ni idadi kubwa ya wachezaji wapya waliowasajili katika kuisuka timu hiyo ili iwe tishio msimu ujao.Yanga hadi hivi sasa tayari imefanikiwa kuwasajili wachezaji kumi ambao ni Abdulaziz Makame, Mapinduzi Balama, Ally Ally, Issa Bigirimana ‘Walcott’, Patrick Sibomana, Sadney Urikhob, Maybin Kalengo, Juma Balinya, Lamine Moro na...

TAIFA STARS YAMWEKA NJIA PANDA TANASHA

0

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imemuweka njia panda mrembo wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ashindwe kujua asimame upande gani kati ya Taifa Stars na timu ya nchini kwao, Harambee Stars.Kwa mujibu wa chambuzi mbalimbali zilizofanywa na mitandao tofauti ya nchini Kenya, presha ya Tanasha itakuwa juu kabla na hata baada ya mechi iliyochezwa usiku...

KAPOMBE ABEBA MILIONI 70 SIMBA

0

Imefahamika kuwa beki kiraka wa Simba, Shomari Kapombe amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Msimbazi kwa dau la Shilingi Milioni 70.Kapombe ni kati ya wachezaji sita walioongezewa mikataba yao hivi karibuni baada ya kumalizika wengine ni John Bocco, Erasto Nyoni, Aishi Manula, Meddie Kagere na Clatous Chama.Simba, pia imewasajili wachezaji wapya ambao ni Sharaf Eldin Shiboub, Ali...