MLINZI WA SHULE ALIYEMUUA MWANAFUNZI AHUKUMIWA KIFO
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Moshi imemhukumu kunyongwa hadi kufa mlinzi wa Shule ya Sekondari ya Scolastica, Hamis Chacha (30), baada ya kupatikana na kosa la kumuua mwanafunzi Humprey Makundi (16).Aidha, mahakama hiyo imewahukumu watuhumiwa wengine ambao ni mmiliki wa shule hiyo, Edward Shayo (65), na aliyekuwa mwalimu wa zamu, Labani Nabiswa (39) raia wa Kenya, miaka minne jela kila...
TFF, SIMBA WAJICHANGANYA KUHUSU SHOMARI KAPOMBE
KUFUATIA taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shrikisho la Soka Tanzania (TFF), Cliford Ndimbo kueleza kuhusu hali ya beki wa timu ya Simba na timu ya Taifa Stars, Shomari Kapombe kwamba amejitonesha majeraha yake Ofisa Habari wa Simba Haji Manara ameibuka na kuhoji kuhusu ukweli.Ndimbo alisema kuwa wachezaji wa Stars wameanza mazoezi ambapo watafanya mazoezi kwa muda wa wiki...
STARS KUMENOGA, DOZI MARA MBILI KWA SIKU
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Afcon itakayofanyika nchini Misri mwezi Juni.Stars kwa sasa imeweka kambi ya ndani kwa muda wa wiki moja ambapo baada ya kumaliza program ya mwalimu watakwea pipa kuelekea nchini Misri kuweka kambi mpaka siku ya mashindano.Kwa sasa Stars wanafanya mazoezi uwanja wa...
PLAYOFF NGOMA NI NZITO, SASA MECHI ZA MWISHO KUAMUA
Mechi zote za leo za Playoff zimekamilika kwa timu zoe kutoshana nguvu huku wote wakitamba kupata matokeo mchezo wa mwisho utakaochezwa Juni 8 mwaka huu.Mechi za mwisho ndizo ziakazoamua timu ambayo itapanda daraja ama kubaki kwenye ligi kati ya Mwadui ama Kagera kubaki TPL ama Geita na Pamba kupanda msimu ujao.FT: Pamba SC 0-0 Kagera Sugar, uwanja wa Nyamagana...
KWA USHINDANI ULIOPO KWA SASA KILA TIMU ISAJILI KIUFUNDI NA SIO BORA LIENDE
KATIKA vitu ambavyo viliziangusha timu nyingi zilizoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2018/19 ambao ulimalizika hivi karibuni, ni suala zima la usajili.Usajili huo ni ule wa dirisha kubwa ambao ulifanyika kabla ya kuanza kwa msimu pamoja na dirisha dogo ambapo una kawaida ya kufanyika mwishoni mwa mwaka.Timu nyingi zinapomaliza msimu, basi zimekuwa na kawaida ya kufanya usajili wa...
KESI YA AVEVA, KABURU, HANSPOPE YAKWAMA LEO
Kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Simba imeshindwa kuendelea kusikilizwa baada ya shahidi aliyeandaliwa kufiwa na kushindwa kufika mahakamani.Kesi hiyo inawakabili hao waliokuwa viongozi wa Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange 'Kaburu' ambao wanakabiliwa na shitaka la kughushi na kutakatisha fedha huku Zachariah Hans Pope akiunganishwa katika kesi hiyo yeye kwa kudaiwa kuwasilisha nyaraka za uongo za ununuzi wa nyasi...
KESI YA JAMALI MALINZI YAPIGWA KALENDA
MAHAKAMA imeshindwa kuendelea kusikiliza kesi inayowakabili waliokuwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya Serikali kushindwa kuleta shahidi.Kesi hiyo ilitarajiwa kuendelea leo Jumatatu ambapo shahidi wa 14 angetoa ushahidi wake kwenye kesi hiyo.Wakili wa Serikali kutoka Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai aliiambia mahakama kuwa hakupata muda wa kuandaa mashahidi kwa kuwa alikuwa...
MBADALA WA KINDOKI HUYU HAPA, ASAINI MIAKA MIWILI JANGWANI
IMEELEZWA kuwa mlinda mlango wa Mbao FC, Metacha Mnata amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Yanga.Yanga kwa sasa ipo kwenye mpango wa kusuka kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao ambapo kwenye sekta ya mlinda mlango walikuwa na tatizo baada ya Beno Kakolanya kuvunja mkataba hivyo Klaus Kindoki alikuwa bado ana makosa mengi ya kiufundi.Metacha ambaye alikuwa...
LICHA YA KUPOKEA KICHAPO , KIBA AWASHURU MASHABIKI
MSANII wa muziki wa kizazi kipya Ally Kiba, amesema kuwa mashabiki wake na watanzania wanastahili shukrani kwa kujitoa kwa hali na mali kufanikisha zoezi la mchezo wao wa hisani uliochezwa jana uwanja wa Taifa.Kiba alicheza jana uwanja wa Taifa na timu ya Mbwana Samatta kwenye mchezo wa hisani na timu yake ilipoteza kwa kufungwa mabao 6-3."Kitu kizuri kwa ajili...
SAMATTA AWASHUKURU WATANZANIA KWA SAPOTI
BAADA ya Jana nahodha wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta kuongoza kikosi chake kuibuka na ushindi wa mabao 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya ndugu zake wa timu Kiba, Samatta amewashukuru watanzania kwa kujitokeza kwa wingi.Samatta na Ally Kiba walicheza mchezo wa hisani, uwanja wa Taifa ambao ulikuwa maalumu kwa ajili ya kurejesha walichokipata kwa jamii ulioandaliwa na...