BEKI MWINGINE MPYA NA YANGA KIMEELEWEKA

0

INADAIWA kuwa beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ tayari amemalizana na uongozi wa Yanga kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara huku mwenye akifunguka kuwa ni kweli wapo kwenye mazungumzo.Sonso ni mchezaji ambaye alikuwa akiwindwa na Yanga kwa muda mrefu tangu kipindi cha usajili wa dirisha dogo na ni mmoja kati ya wachezaji ambao waliipeleka Stars...

MAPILATO WA AZAM FC NA LIPULI LEO HAWA HAPA

0

Hance Mabena leo atakuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho FA utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi majira ya saa 9:00 alasiri.Mabena atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, mwamuzi msaidizi namba moja, Frednarnd Chacha kutoka Mwanza, mwamuzi msaidizi namba 2, na Abubakar Mturo kutoka Mtwara atakuwa ni mwamuzi wa akiba.Waamuzi wasaidizi walioteuliwa kukaa kwenye magoli...

LIPULI: TUNAIPIGA AZAM FC NA PIPA TUNAKWEA

0

KOCHA wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa wana shauku kubwa ya kukwea pipa ili kuiwakilisha nchi kimataifa hivyo kazi yao leo ni kuwakalisha wapinzani wao Azam FC.Akizungumza na Saleh Jembe, Matola amesema kuwa kazi ya kushinda ni ngumu hasa unapokutana na timu bora ila imani kubwa ipo kwenye ushindi."Najua aina ya timu ambayo tunakutana nayo ni ngumu na imewekeza...

SUALA LA VAR AFRIKA NI PASUA KICHWA

0

TIMU ya Esperance imetwaa ubingwa wa klabu bingwa Afrika kwenye mchezo wa fainali ya pili dhidi ya Wydad Casablanca baada ya Wydad kugoma kuendelea na mchezo huo dakika ya 62 kwa kutokubaliana na maamuzi ya mwamuzi.Kwenye mchezo huo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa, Wydad walisawazisha bao walilofungwa na mwamuzi akalikataa kwa kudai wameotea jambo ambalo wachezaji hawakukubali na kuomba...

NYOTA HAWA WATATU KIKOSI CHA KWANZA SIMBA WAMSHANGAZA MBELEGIJI

0

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa anaona ajabu kwa nini nyota wake watatu wa kikosi cha kwanza hawajaitwa timu ya Taifa itakayoshiriki michuano ya Afcon nchini Misri mwezi Juni mwaka huu.Aussems amesema kuwa ni muda wa Taifa kutumia wachezaji wenye uzoefu wa mashindano ya kimataifa kwa kuwa wana changamoto mpya ambazo wamezipitia."Kwa Taifa ambalo linaingia kwenye michuano...

KAZI IPO LEO FAINALI FA ILULU, LIPULI VS AZAM FC

0

LEO Azam FC itamenyana na Lipuli fainali ya kombe la Shirikisho mchezo utakaochezwa uwanja wa Ilulu, Lindi ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu hizi kukutana fainali.Azam FC ilitinga hatua ya fainali baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya KMC mchezo wa nusu fainali uliochezwa uwanja wa Chamanzi.Lipuli ilitinga hatua hii baada ya kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya...

Meddie Kagere akabidhiwa tunzo yake.

0

Moja ya dhumuni kuu la tovuti yetu ni kusheherekea mafanikio ya watu ambao wanafanya vizuri katika ulimwengu huu wa soka kwa Tanzania. Toka mwanzo wa msimu wa Ligi Kuu Tanzania bara, tovuti imekuwa ikitoa zawadi kwa wafungaji bora kila mwezi, ikiwa na lengo la kutambua mchango wao.Msimu wa ligi kuu 2018/2019 umemalizika na Meddie Kagere ameibuka kuwa...

SIMBA WAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI AJIBU WA YANGA

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa hauna haraka ya kufanya usajili kwa kuwa walikuwa wanasubiri ripoti ya mwalimu na tayari wameshaipata hivyo watatoa majibu kuhusu suala la usajili ikiwemo na suala la kumsajili nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu.Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amesema kuwa kwa sasa hawajafanya usajili wa mchezaji yoyote yule wa nje...