YANGA YAKAMILISHA ASILIMIA 90 YA USAJILI WA ZAHERA,
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa umekamilisha mchakato wa usajili wa wachezaji wake kwa asilimia 90 kutokana na maagizo ya kocha Mkuu, Mwinyi Zahera.Mwenyekiti wa Yanga, Dk. Mshindo Msolla amesema kuwa usajili wote walioufanya umetegema ripoti ya kocha hivyo wana imani wataleta ushindani kwenye michuano ya kimataifa."Kazi ya usajili tumeifanya kwa kuzingatia matakwa ya kocha, imani yetu tutafanya kweli...
PASIPOTI YAMZUIA AIYEE KWENDA SWEDEN
STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.Aiyee alitakiwa kusafiri Juni 15, kwenda nchini Sweden kwa ajili ya kwenda kufanya majaribio katika moja kati ya timu inayoshiriki ligi kuu ya huko ambayo hataki kuiweka hadharani.Aiyee aliliambia Championi Jumatatu kuwa alitakiwa kusafiri Jumamosi lakini alishindwa kutokana na Pasipoti yake kutokukamilika ambapo alisema...
MAMBO MAWILI MAKUU YALIYOWAFANYA SIMBA WAMALIZANE NA KAGERE CHAPCHAP
Uamuzi wa Simba kumuongezea mshambuliaji wake Meddie Kagere miakaMiwili umeelezwa umtokana na mambo mawili makubwa.MOJA:Ni baada ya Kagere raia wa Rwanda lufanya vema msimu uliopita akiibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara. Hivyo Simba wameona makali yake bado wanatahitaji.MBILI:Simba imeona idadi ya timu zinazomfuatilia Kagere kutaka kupata saini yake zimeongezeka.Hadi timu kubwa kama Al Ahly nazo zimeonyesha nia na...
WEMA SEPETU ASWEKWA NDANI HADI JUNI 24
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemwamuru msanii wa filamu nchini na Miss Tanzania wa mwaka 2006, Wema Sepetu, kukaa mahabusu kwa siku saba hadi Jumatatu ijayo, Juni 24, wakati akisubiri uamuzi wa mahakama kumfutia dhamana baada ya kukiuka masharti aliyopewa mahakamani hapo.Wema anakabiliwa na mashtaka ya kujipiga video ya ngono na kuisambaza katika mtandao wa...
TAIFA STARS INAHITAJI MICHANGO, MWAKYEMBE AFUNGUKA – VIDEO
WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe, amewaomba Watanzania kuichangia Timu ya Taifa (Taifa Stars) ambayo ipo Misri kwa ajili ya michuano ya #AFCON2019Mwakyembe amesema hayo leo Jumatatu, Juni 17, 2019 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu maandalizi ya Stars ykwa ajili ya fainali za AFCON.“Siku ya Alhamisi asubuhi tutakuwa na zoezi kubwa ambalo litaluwa LIVE kwenye...
SIKU YA KUMTAMBULISHA AJIBU SIMBA YATANGAZWA
TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo huo ambao utapigwa Uwanja wa Gwambina, Mwanza utatumika kama sehemu ya kutambulisha vifaa vyao vipya walivyosajili.Simba ambao hadi sasa mchezaji wa nje ya timu yao waliomsajili ni Beno Kakolanya aliyetokea Yanga wanatarajiwa kufanya usajili kabambe ili kuendana na kasi...
SIMBA YAAGIZA STRAIKA WA KIMATAIFA
MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika ambaye atakuwa ni moto wa kuotea mbali zaidi ya Mganda, Emmanuel Okwi pamoja na Mnyarwanda, Meddie Kagere.Katika kufanikisha hilo taarifa ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya timu hiyo zimedai kuwa uongozi huo chini ya bilionea Mohammed Dewji sasa...
KOCHA WA SADIO MANE ATOA KAULI YA KIBABE KWA STARS
KOCHA wa timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa nyota wake Sadio Mane ataukosa mchezo wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya Afcon ambao watacheza dhidi ya Tanzania Juni 23 saa 2:00 usiku.Mane ni staa wa Senegal ambaye anakipiga Liverpool ni miongoni mwa washambuliaji wakali kwani ana tuzo ya mfungaji bora wa Premier League akiwa ametupia jumla...
KUMEKUCHA AZAM FC, NDAYIRAGIJE KUANZA NA HILI
KOCHA wa Azam FC, Etiene Ndayiragije amesema kuwa anahitaji kuboresha kikosi na hesabu zake ni kwenye kuongeza wachezaji wakali wenye uwezo.Ndayiragije amelamba mkataba wa kuionoa Azam FC akichukua mikoba ya Hans Pluijm kwa kandarasi ya miaka miwili."Kutokana na malengo ambayo yapo kwa sasa kazi kubwa itakuwa ni kutengeneza kikosi imara, nina imani hilo linawezekana kutokana na uhitaji ambao upo...
KAKOLANYA AIBUKA NA KALI YA SIKU SIMBA
GUMZO la mashabiki ni kwamba Beno Kakolanya anaweza kumuweka benchi Aishi Manula? Amesaini mkataba wa miaka miwili Msimbazi. Lakini ametamka kwamba; “Moto utawaka.”Kakolanya kujiunga na Simba ni wazi vita ya namba itazidi kukolea kwenye kikosi hicho ambacho kinaongozwa na Tanzania One, Aishi Manula akisaidia na Deo Munishi ‘Dida’ na Ally Salum.Kirekodi ushindani utazidi kuwa mkubwa lakini Manula bado ataendelea...