ISHU YA MBRAZILI KUSEPA KAMBI YA SIMBA UTURUKI…UKWELI USIOSEMWA HUU HAPA…

0
Habari za Simba SC

Baada ya kuripotiwa juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho', kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli wa taarifa hiyo akikiri atakuwa nje ya timu kwa muda wa wiki moja. Awali  taarifa zilisema kwamba Robertinho alikuwa ameondoka kambi ya timu hiyo iliyopo jiji la Ankara Uturuki ili kwenda darasani kusoma, lakini akizungumza jana...

ISHU YA SIMBA NA MGUNGA BADO PASUA KICHWA…MWENYEWE AWAWEKEA NGUMU MABOSI…

0
Kocha Msaidizi Simba SC

HUKO Simba hali sio shwari kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Juma Mgunda baada ya kuonekana akiwa na kikosi cha vijana. Mgunda ameshuhudiwa akiwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni wakati wa kutafuta vipaji vitakavyojiunga na timu hiyo chini ya kocha mkuu, Selemani Matola na mkuu wa programu za soka la vijana, Patrick Rweyemamu. Mgunda ambaye hakusafiri na Simba kwenda...

KUHUSU ISHU YA MIQUISSONE NA SIMBA…’UPDATE’ MPYA HIZI HAPA KUTOKA AL AHLY YA MISRI…

0
Tetesi za usajili Simba

Inaelezwa kuwa uongozi wa Simba SC na Al Ahly ya Misri, umefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Luis Miquissone raia wa Msumbiji kwa mkataba wa mkopo, huku wakiwa tayari kumuuza kiungo wao, Msenegali, Pape Sakho kuelekea nchini Ufaransa. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema: “Usajili unaendelea, bado mchezaji mmoja na viongozi wa...

‘ABRAKADRA ‘ ZA MAYELE NA YANGA KWISHNEII…UKWELI KUHUSU DILI LAKE NA WAARABU HUU HAPA…

0
Habari za Yanga leo

UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda kukipiga nchini Misri huku Yanga wakilambishwa zaidi ya Bilioni 1.2 kama dau la usajili. Mayele alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kisha akaongezwa mmoja mwaka jana akitokea As Vita ya DR Congo. Wakati Mayele akijiandaa...

MFAHAMU MRITHI WA KAZE NDANI YA YANGA….JAMAA NI MAFIA KWA WAARABU…WYDAD WANAIJUA KAZI YAKE…

0
Kocha Msaidizi Yanga SC

Anaitwa Moussa N'Daw ni mshambuliaji wa zamani wa Klabu ya Wydad Casablanca, timu ya taifa ya Senegal na kocha msaidizi Wydad Casablanca na nyingine. ◉ Name — Moussa Ndao ◉ Citizenship — Senegal ◉ Born — 16 July 1968 (54) Baadhi ya watu wanadai kuwa huyu kocha mpya msaidizi wa Yanga mara ya mwisho kufundisha ni — 2016. Muossa N'daw sio tu...

FUNGUA VYUMBA 25 VYA HOT SHOT UWE MILIONEA WA LEO KUPITIA MERIDIANBET CASINO…

0
Meridianbet

Hii ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa Hot Shots Mines. Huu ni mchezo wa mkakati wa awamu ambao ni mzuri kwa wapenzi wa soka na michezo ya kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa Hot Shot Mines unachezwa kwenye uwanja wa soka katika msitu wa kuvutia.  Hot Shot Mines...

MKUDE:- ROHO YANGU ILIKUWA YANGA TU….

0
Mkude atua Yanga

Kiungo wa klabu ya Yanga SC, Jonas Mkudde ametoa kauli yake ya kwanza mara baada ya kujiunga na miamba ya soka nchini Yanga Sc. Ikumbukwe kuwa, Mkude ameitumikia Simba kwa takribani miaka 13 tangu alipojiunga nayo akiwa mdogo mpaka hivi karibuni ambapo klabu hiyo ilitangaza kuachana naye. "Ninapolazimika kufanya maamuzi magumu, huwa naisikiliza roho iliyondani yangu inachotaka.Roho hiyo ilikuwa ni Yanga...

ALIYEKUWA KOCHA WA YANGA, NABI ATUA FAR RABAT YA MOROCCO

0

Aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR Rabat. Nabi amesaini mkataba huo jana kuwafundisha Mabingwa hao wa msimu huu nchini humo ikiwa ni miezi michache tangu aachane na Yanga. Nabi amesema ni heshima kwake kupata nafasi ya kuifundisha klabu hiyo kubwa Afrika ambapo anataka kuhakikisha anatumia taaluma yake kuipa...

ISHU YA KOCHA WA SIMBA KUONDOKA KAMBINI IKO HIVI…. ROBERTINHO AFUNGUKA KILA KITU

0
Tetesi za Usajili Simba

Baada ya  kuripoti juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho', kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli wa taarifa hiyo akikiri atakuwa nje ya timu kwa muda wa wiki moja. Awali  tulipenyezewa taarifa kwamba Robertinho alikuwa ameondoka kambi ya timu hiyo iliyopo jiji la Ankara Uturuki ili kwenda darasani kusoma, lakini akizungumza jana...

SASA NI KIPA MCAMEROON , MASTAA WANNE WAONGEZEKA KAMBINI UTURUKI, CHAMA, ROBERTINHO HAKUNA MATATA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo