YANGA HAWATANII AISEE….WAMWAMGIA MAMILIONI YA PESA BEKI MGANDA…MICHO NA AUCHO WAHUSISHWA…

0
Habari za Yanga leo

IMEELEZWA kuwa Yanga imetumia dau la Sh 200Mil kufanikisha usajili wa beki wa kati ya Timu ya Taifa ya Uganda na Klabu ya SC Villa ya nchini humo, Gift Fred. Yanga ipo katika mipango ya kukisuka kikosi hicho ili kifanye vema katika msimu ujao ambao wamepanga kufika hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga tayari imekamilisha usajili wa...

BAADA YA KUONA ANAWADENGULIA KUSAINI….MABOSI YANGA WAAMUA LIWALO NA LIWE KWA MAYELE…

0
Habari za Yanga

Baada ya juhudi za kumshawishi kuendelea kuitumikia timu yao kukwama, uongozi wa Klabu ya Young Africans, umefikia makubaliano ya pamoja kumweka sokoni Mshambuliaji wao kutoka DR Congo Fiston Mayele, imefahamika. Mayele ambaye amebakiza mkataba wa mwaka mmoja, alikuwa kwenye mvutano na uongozi wa klabu yake kwa kufanya vikao kadhaa kabla ya juzi Jumatatu (Julai 10) kufanyika cha mwisho, lakini mshambuliaji...

ACHANA NA USAJILI WA MASTAA WAPYA …YANGA KUSHUSHA WASAUZI BONGO…ISHU IKO HIVI…

0
Habari za Yanga leo

RASMI kwenye wiki ya Mwananchi Klabu ya Yanga itakuwa na kazi Uwanja wa Mkapa Julai 22 2023 kuwapa burudani mashabiki wa timu hiyo. Ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Kaizer Chiefs,Yanga itacheza ukiwa ni mwanzo wa kazi kuelekea msimu mpya wa 2023/24. Wiki hiyo ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya pamoja na wale waliobaki ndani ya...

HII HAPA TAARIFA MPYA KUHUSU VYUMA VINGINE VITAKAVYOSHUKA SIMBA….

0
Habari za Simba leo

Pamoja na kutangaza wachezaji watatu mpaka sasa, klabu ya Simba SC imesema bado haijamaliza zoezi la usajili, huku ikitangaza nafasi tatu hadi nne ambazo inatarajia kushusha ‘vyuma’ vipya vya kimataifa kabla ya dirisha kufungwa. Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu hiyo, Ahmed Ally, amesema mpaka sasa walichofanya ni kama dibaji tu, lakini bado hawajamaliza usajili kwani tangu mwanzo waliahidi kuwa...

KOCHA WA SINGIDA FOUNTAIN GATE AITAMBIA SIMBA MAANDALIZI YAO SIO POA

0
Hans Van De Pluijm kocha wa Singida Big Stars atamani kuifundisha Simba

Kocha Mkuu wa Singida Fountain Gate, Hans Pluijm amesema ameanza kukisuka kikosi chake kuelekea mechi yao ya Ngao ya Jamii dhidi ya Simba SC utakaopigwa Uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga, Agosti 10. Singida imerejea mazoezini rasmi juma hili ikianza maandalizi kuelekea msimu ujao lakini kocha huyo ameeleza kuwa wanahitaji kufanya vizuri kwanza kwenye mechi za Ngao ya Jamii kabla...

TAJIRIKA NA SLOT YA KEOPS WILD NDANI YA CASINO YA MERIDIANBET…HUKU PESA IMELALA TU…

0
Meridianbet

Fahamu mengi kuhusu siri za Misri ya kale unapocheza sloti ya Keops Wild kutoka kwa watengenezaji wa michezo ya kasino Spearhead. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni, utaona kaburi la Farao, ambalo linaficha siri nyingi, na utajiri wa kumwaga. Ukiwa na mchezo huu unaanza safari ya kuelekea nchi ya ajabu na yenye utajiri sana kupitia.  Meridianbet mabingwa wa odds kubwa, bonasi kibao, michezo...

SIMBA KUNEEMEKA KUTOKA CAF BAADA YA LIGI KUBADILISHWA JINA

0
Habari za Simba leo

SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika(CAF) limebadilisha jina la mashindano yake mapya, lakini Rais wake,Patrice Motsepe amesisitiza kwamba yatakuwa na neema kubwa ya mkwanja Simba ikiwa mshiriki pekee wa Cecafa hadi sasa. Awali mashindano hayo ambayo pendekezo la awali ni kushirikisha timu nane, yanaanza Oktoba yalipangwa kuitwa Super League lakini sasa yatajulikana kama African Footbal League (Ligi ya Soka ya Afrika). “Marafiki...

SIRI YA GAMONDI KUTUA YANGA YAFUCHUKA, NABI AHUSISHWA

0
Habari za Yanga SC

Dar es Salaam. Kocha wa Yanga, Migel Gamondi amesema mafanikio makubwa iliyopata Yanga msimu uliopita ndiyo sababu kubwa iliyomvuta Jangwani, kwani yeye ni muumini wa mafanikio. Gamondi alikiri kuwa kazi kubwa ya kufanya aliyonayo mbele yake kuvuka mafanikio ya mtangulizi wake, Nasreddine Nabi. Nabi, ambaye alikaa na Yanga kwa misimu miwili na nusu alifanikiwa kutwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Tanzania...

KOCHA WA YANGA AKUTANA NA MASTAA WA KLABU HIYO LEO KWA MARA YA KWANZA

0
Tetesi za Usajili Yanga

Kocha Mkuu mpya wa Young Africans Miguel Gamondi, leo Jumatano (Julai 12) anakutana na wachezaji wake kwa mara ya kwanza, kuanza mazoezi ya ‘Gym’ kuweka miili sawa kabla ya kwenda uwanjani. Gamondi raia wa Argentina, hivi karibuni alipewa mkataba wa miaka miwili kuinoa timu hiyo akichukua mikoba ya Nasreddine Nabi, aliyeondoka baada ya msimu wa 2022/23 kufikia tamati mwezi Juni. Meneja...

BAADA YA SIMBA KUMTEMA MKUDE KOCHA WA YANGA KUAMUA JAMBO HILI

0
Tetesi za Usajili Yanga

Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans wameshamalizana kimazungumzo na Kiungo Mzawa, Jonas Mkude lakini imeliacha faili lake kwa Kocha Miguel Gamondi afanye uamuzi wa mwisho muda wowote juma hili atatangazwa. Mkude aliitumikia Simba SC kwa zaidi ya miaka 10 kwa mafanikio, lakini klabu hiyo ya Msimbazi ilimtema ikiwa ni sehemu ya kujipanga upya baada ya kupoteza makombe kwa msimu...