BAADA YA KOCHA MPYA WA YANGA KUTUA MASTAA HAWA KUPIGWA CHINI
KOCHA Mkuu wa Yanga ametua juzi usiku kutoka Brazili, lakini kitu ambacho mashabiki wa klabu hiyo wanapaswa kukaa wakikujua mpema ni kwamba beki wa kulia, Djuma Shaban huenda akawa mchezaji wa kwanza kupiga panga ili kupisha jembe jipya kushuka Jangwani. SOKA LA BONGO ilishawatarifu mapema kwamba Miguel Angel Gamondi ametua na faili zito la kufyeka baadhi ya mastaa waliosalia kikosini...
YANGA WALAMBA SHAVU HILI KUTOKA NMB
Mwanachama wa Yanga akifungua akaunti atalipia Shilingi 34,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga (Shilingi 5,000 ni malipo ya kadi, 5,000 amana ya kuanzia na shilingi 24,000 ni ada ya Mwanachama kwa mwaka mzima). Mwanachama wa Yanga atalipia Shilingi 29,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga ambayo ni kadi ya Malipo ya kabla(Prepaid Card) shillingi 5,000 ni malipo...
FEI TOTO AFUNGUKA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGU ALIPOTIMKA YANGA
Kikosi cha Azam FC kinajifua jijini Dar es Salaam huku kikisubiri kusepa kwenda kuweka kambi Tunisia, lakini nyota mpya wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amevunja ukimya baada ya kuanza mazoezi akisema anashukuru mapokezi aliyopata. Feisal alitua Azam FC baada ya mzozo wake na klabu ya Young Africans kabla ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuufanya uongozi...
ALIYEMFUKUZISHA ONYANGO SIMBA NAEAKUTWA NA JAMBO HILI
SIMBA iliendelea kushuka majembe mapya baada ya kutambulisha yule winga aliyeripotiwa mapema juzi na soka la bongo kwamba ameshasaini mkataba wa miaka miwili, Aubin Kramo Kouame kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast, huku kocha wa timu hiyo akitua nchi jana. Simba ilimtangaza winga huyo anayemudu kucheza zaidi ya nafasi moja uwanjani na anayekumbukwa kwa kumpindua beki Joash Onyango kwenye mechi...
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAIONYESHA SIMBA JEURI YA PESA, YAIFANYIA KITU MBEYA KIKOSI CHA SIMBA
Ushawishi wa pesa umeendelea kuwa kivutio kikubwa sana kwa klab hiyo yenye maskani yake Mkoani Singida, Beno kakolanya alikuwa tayari kuongeza Mkataba ndani ya kikosi cha Simba, baada ya kupewa ofa ya klab ya Singida basi ilimlazimu Mkataba Mpya aliopewa na Simba SC kuuweka ndani ya begi na kuuzingatia zaidi wa Singida. Simba Sc walimtengea Tsh Milioni 45, ikapanda hadi 50...
MWANASHERIA WA YANGA ALAMBA DILI FIFA,… YANGA WATIA NENO
Mkurugenzi wa Sheria wa Young Africans SC, Wakili Simon Patrick amechaguliwa na Baraza Kuu la Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kuwa kwenye jopo la Wanasheria watakaolisaidia Shirikisho hilo kwenye masuala mbalimbali ya kisheria kwa wachezaji. Kwa mujibu wa taarifa iliyothibitishwa na Young Africans SC, imeeleza kuwa Wakili Simon ni Mtanzania pekee kwenye jopo la Wanasheria 21 kutoka sehemu mbalimbali duniani...
MBRAZILI SIMBA MPYA IMEENEA…. YANGA MPYA HAPO VIPI…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BAADA YA YANGA KUFANYA JAMBO LAO SASA NI ZAMU YA GEITA GOLD
Hatua hiyo inajiri baada ya Geita kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fredy Felix 'Minziro' baada ya mkataba wake kuisha tangu Mei 28 mwaka huu UONGOZI wa Geita Gold uko kwenye mazungumzo na Kocha Mkuu wa KMKM, Hemed Suleiman 'Morocco' kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho. Hatua hiyo inajiri baada ya Geita kuachana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Fredy...
MSEMAJI WA YANGA ATAJA SIFA HIZI ZA NAMBA SITA WA YANGA
Imeelezwa kuwa Kiungo Mkabaji kutoka nchini Ivory Coast Zougrana Mohamed anayehusishwa na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, tayari ametua nchini kumalizana na timu hiyo. Kiungo anayetokea klabu ya Asec Mimosas, anatarajiwa kupewa jezi namba sita ambayo ilikuwa inatumiwa na aliyekuwa staa wa timu hiyo, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’, aliyetimkia Azam FC. Kwa mujibu wa habari kutoka Young Africans...
BEKI HUYU KISIKI WA SIMBA ATUA NCHINI KIMYA KIMYA
Beki kutoka nchini Cameroon anayehusishwa kutua kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Che Fondoh Malone Jr amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu nchini Cameroon kwa Msimu wa 2022/23 (2022/23 Cameroon Elite One Footballer of the Year) kwenye tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo Jumamosi (Julai 08) na Mboa Foot Awards huko Cameroon. Beki huyo ambaye anafahamika kwa jina la utani...