KUHUSU NANI ZAIDI KATI YA BALEKE NA MAYELE….MPOLE KAONA ISIWE TABU TUZO KAMPA HUYU…
Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, George Mpole amesema huu ni wakati wa mshambuliaji wa Young Africans, Fiston Mayele kutamba na kutwaa kiatu cha ufungaji bora wa Ligi Kuu kwa kuwa hakuna anayempa presha kwenye safu hiyo. Mpole aliyetwaa tuzo hiyo msimu uliopita wakati anaitumikia Geita Gold FC akifunga mabao 17 na Mayele 16, amesema Mayele anakosa changamoto msimu...
MANULA AFUNGUKA MAPYA YA MOYONI…ADAI HAKUTAKA KUDAKA KABISA……ILA..!!
Kipa namba moja wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Aishi Manula amesema kuwa hakuwahi kupenda kuwa kipa badala yake alijikuta akilazimika kufanya hivyo baada ya kukosa namba kwenye nafasi za ndani ya uwanja. Manula amesema hayo wakati akifanyiwa mahojiano maalum na Millard Ayo akizungumzia historia ya maisha yake ya soka. “Mpira nilianza kucheza nikiwa darasa...
MBRAZILI AVUNJA UKIMYA SIMBA….ADAI TIMU HAINA WACHEZAJI WAKUPAMBANA…AFUNGUKA MAKUBWA…
Kocha Mkuu wa Simba SC Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ ameuagiza uongozi wa Simba kusajili wachezaji watano wenye ubora wa hali ya juu ili timu hiyo iweze kugombania mataji katika michuano yote watakayoshiriki msimu ujao. Simba SC ambayo imeelekea kumaliza msimu wa pili bila kubeba taji lolote ndani na nje ya Tanzania, inahitaji kufanya usajili huo ili kuboresha kikosi...
KUHUS BACCA KUTAKIWA MSIMBAZI…YANGA WAIZIMA SIMBA TENA….ISHU NZIMA IKO HIVI…
Za ndani kabisa zinaeleza kuwa, tayari Klabu ya Yanga Sc imefika makubaliano na Ibrahim Bacca kuongeza mkataba wa miaka mitatu zaidi kuendelea kusalia Jangwani. Ibrahim Bacca amekuwa na kiwango Bora sana tangu alipoaminiwa katika kikosi cha kwanza Cha Yanga Sc mpaka kuitwa kwa mara ya kwanza timu ya Taifa ya Tanzania. Baada ya Yanga kutinga nusu fainali ya Kombe lka Shirikisho...
WAKATI RUVU WAKIOMBA MUNGU SAYIWAKUTE LEO…MBRAZILI SIMBA APANGA KUSHINDILIA NONDO…
Inaweza kuwa ni taarifa Chungu kwa maafande wa Ruvu shooting baada ya kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliviera ‘ Roberthno’ kusema kwamba wanataka kushinda mchezo utakopigwa leo Uwanja wa Azam Complex dhidi ya Ruvu shooting. Robertnho amesema haijalishi kuwa watavuna nini mwisho wa msimu lakini wanachotaka ni kuilinda heshima ya timu. “Sio mchezo mrahisi kwetu lakini ni lazima tushinde, nimewaambia wachezaji...
UNAWAZA UTAPATA WAPI PESA ZA HARAKA?…JIBU NI CASINO YA CIRCUS FEVER YA MERIDIANBET…CHEZA SASA..
Unahitaji urahisi wa odds kubwa, michezo mingi ya kasino ya mtandaoni, kuhusu machaguo mengi, ofa na promosheni na bonasi juu, ichague Meridianbet yote haya unayapata. Moja kati ya Sloti rahisi kula hela ni Circus Fever Deluxe, jinsi ya kucheza ni kama ifuatavyo…. Sloti ya Circus Fever Deluxe ina mtindo kama wa mazingaombwe lakini kuna tofauti kidogo, huku kuna wacheza sarakasi...
WAKATI ONYANGO AKIOMBA POO …KITASA HIKI HAPA KUTUA SIMBA SC…JAMAA KAKIPIGA MPAKA USA…
Safu ya ulinzi ya Simba inatarajiwa kuimarishwa kwenye dirisha la usajili litakalofunguliwa mwezi ujao baada ya ligi kuu 2022/23 kumalizika. Wakati kukiwa na taarifa kuwa Joash Onyango ameomba kuachwa ili akatafute changamoto kwingine, Simba imeanza mchakato wa kumsaka mrithi wake. Jicho la kocha Robertinho Oliveira limetua kwa Abdul Rwatubyaye mlinzi wa kati wa klab ya Rayon Sports ya Rwanda. Rwatubyaye ambaye pia...
WAKATI WAKIHUSISHWA NA FEI TOTO…AZAM WAWEKA WAZI USAJILI WAO ULIVYO…
Uongozi wa timu ya Azam FC, umeahidi kusajili wachezaji watatu pekee kwenye dirisha kubwa ili kuimarisha kikosi chao msimu ujao. Akizungumza nasi, Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema kati ya wachezaji hao watatu tayari wamemalizana na wawili na wanatarajia kuwatambulisha pindi ligi kuu msimu huu utakapo malizika. “Malengo yetu ilikuwa ni kubeba ubingwa wa mashindano yote ya ndani...
ILI KUFUZU FAINAL CAF..GSM AFANYA KUFRU YA FUNGA KAZI YANGA…MZIGO ALIOWEKA MO DEWJI HAWEZI…
Yanga jana ilikuwa uwanjani ikicheza mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini lakini matajiri wao kuna mzigo wa maana wa mtego wamewawekea mezani. Matajiri wa Yanga kuna mabadiliko madogo wameyafanya katika mfumo wao wa bonasi za wachezaji ambapo sasa zitakuwa zikienda kwa mechi mbili za nyumbani na ugenini tofauti...
KISA CAF SUPER LEAGUE…SIMBA SC WAPANGA KUINGIA ‘MSITUNI’ UPYA…MASTAA WAPYA KUSHUSHWA…
Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Imani Kajula amesema wamejipanga kufanya usajili mkubwa baada ya kushindwa kufanya vizuri msimu huu kwa lengo la kuboresha kikosi hicho kinachotarajia kushiriki michuano ya CAF Super League. Simba SC ni klabu pekee kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki, itakayoshiriki michuano hiyo mikubwa Afrika ambayo inatarajiwa kuanza mwezi Oktoba mwaka huu. Kajula amesema: “Akili na nguvu zetu...